ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,427
- 88,515
Walikua busy na Dubai floods wakasahau yao
View: https://twitter.com/TheStarKenya/status/1786641283827564929?t=BhXnpwP6ij9hpbBS5VHIvA&s=19
Hakuna jibu ulilotoa.Rudi nyuma uone nilivyokujibu. Sitakuspoonfeed kama mtoto mdogo juu ya upumbavu wako na elimu yako duni.
Kasarani Stadium Renovation Progress.
View: https://x.com/FlamingoAfrica_/status/1786358963224588658
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi unaposhinda ukisema Dubai Dubai unatumai wadubai wakusaidie hoja ama nini? Si heri uwaite wayemeni maana hao ndio wa kwenu.
We kweli Popoma.Kuna kufanyika na kufanyika Kwa Ukubwa na upana unaostahili.Kama yangefanyika Kwa Ukubwa na upana unaostahili Leo hii isingekuwa ajenda.
Acheni majungu nyie loosers msiojielewa.ni aibu eti kabla ya Samia the whole country inakuwa na CT Scan 13 ila Mama just within 3 years Kila Mkoa kaweka ,huo ni ushahidi mdogo sana kati ya mengi aliyobadili Kwa mda mfupi sana.
Pale airport mwezi wa 3 huu air condition hazifanyi kazi and no body cares, kule juu departure wamenunua ma air condition ya chini wakati uwanja una air condition zake zile pipes za juu, ukiuliza unaambiwa eti hakuna fundi nchini wa kukarabati, sasa kama ni hivyo si wangeleta mafundi wa nje? Lkn wameenda kununua ma air condition ili mradi wapige tu, awamu hii ikiondoka alafu akaja rais mwenye uchungu atawafunga wengi sana haki ya mama.Kila kitu kina initiator na background.
Ungekua unasifia Samia kwa kuendeleza tusingekuattack, ila hii tabia ya kumfanya yeye ndio kaweka ndio tunakataa, alafu alivyoanzisha ndivyo hivyo.
Unaibu waziri-cheo nonsense wakati waziri mkuu aliyepo hana shida.
Migao bila sababu.
Mfumuko mkubwa wa bei na Matozo, mafuta kila mwezi kuwa tatizo.
Mwendokasi kujifia, vivuko kujifia.
Kutoa vitu sensitive kwa nchi kama bandari nje, ukiangalia Bandar ilishakarabatiwa kwa trillion.
Huu uchawa wa kijinga.
Kwamba hadi manara, mwinjaku, babalevo ndio wapewe airtime ya kuongelea mambo ya muhimu kitaifa?
Aiseeee!?Ndio ananitawala,haya Sasa tunaanza na Afya ,tuanze na wanaume shupavu weka hapa Vituo vya Afya walivyojenga na Mimi niweke vya mama mbovu Kila mtu atajua hapa nani shupavu na nani mbovu.
Haya ndio mambo Huwa napenda Sasa kujadili hoja badala ya kujadili hisia za kitandani Kwa mkeo.
Lazima uwe na raha maana yafuatayo yametokea na yanaendelea kutokea;Toka SSH amekuwa Rais Nina Raha kama zote
Tatizo lenu nyinyi hamko systematic, maviwanja kila siku ni renovation tu na bado yanakosa ubora. Toeni pesa iteni mafundi wazuri njoeni hata Tanzania kuna mafundi wazuri wawafanyie renovation ya maana na sio hao mafundi jua kali wakikenya. Mm nikionaga mnafanya renovation ya kitu chochote alafu nikaona mafundi ni Wakenya huwa nacheka sn mana najua ni renovation ya kijua kali.Tunatengeneza stadium 5 to world class standards at the same time wengine bado wanawika ooh CAFU approved over zizi la ng'ombe. Watashtuka sana.
🤪🤪🤪🤪😁😁😁😁 Huwezi kuweka takwimu unaogopa kuaibika 😂😂We kweli Popoma.
Wacha nikuache na upopoma wako.
Nimeshataja hapo Juu ila Kwa kukusaidia nakuongezea Ethiopia chini ya Queen of Sheba &Nzingambande.
Pili kwani hujui kwamba wanawake wameanza kuingia kwenye Uongozi miaka ya karibuni kutokana na sera za kuwakandamiza za mfumo dume?
Haya hapa madhara ya kufundisha mwanaume saikolojia ya kiburi👇
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1786424780381475192?t=pfU09LSsUlCjcOPNPguX0A&s=19
🤪🤪🤪🤪😁😁😁😁 Huwezi kuweka takwimu unaogopa kuaibika 😂😂
Samia anajenga Vyuo vya Veta 100 ,25 Vimekamilika na 65 viko hatua za mwisho kukamilika.
Onyesha Magufuli alijenga vingapi? 👇👇
View: https://youtu.be/CJXET8Vfcow?si=f_wmIQcXqwbIfT9Q
Awamu hii ni takataka kabisa tena kama nzi yule wa kijani.Lazima uwe na raha maana yafuatayo yametokea na yanaendelea kutokea;
1)Wizi uliokithiri sekta za umma.
2)Nidhamu ya kazi kupungua sekta za umma.
3)Umeme kuwa ni shida licha ya kudai umeme unazalishwa kwa wingi.
4)Ahadi za uongo zisizotimia za serikali ya awamu ya sita.
5)Shilingi kupoteza kwa dola.
6)Miradi kwenda kwa kusuasua mathalan mradi wa BRT Gongo la Mboto.
NA HUYU UNAMUITA RAIS MAKINI!?
DOH
1.Wewe umeiba kiasi gani Hadi Sasa?Lazima uwe na raha maana yafuatayo yametokea na yanaendelea kutokea;
1)Wizi uliokithiri sekta za umma.
2)Nidhamu ya kazi kupungua sekta za umma.
3)Umeme kuwa ni shida licha ya kudai umeme unazalishwa kwa wingi.
4)Ahadi za uongo zisizotimia za serikali ya awamu ya sita.
5)Shilingi kupoteza kwa dola.
6)Miradi kwenda kwa kusuasua mathalan mradi wa BRT Gongo la Mboto.
NA HUYU UNAMUITA RAIS MAKINI!?
DOH
Muendelezo kwani kipi sio muendelezo?Unaona ulivyo huna akili!?
Unaleta masuala yale yale ya muendelezo!?
UNATAKA TUMSHINDANISHE MAGUFULI NA SAMIA?
UKO TAYARI KWA HII BATTLE??
Mwaka 2027 watakumbwa tena na mafuriko ya kutisha😎😉Tatizo lenu nyinyi hamko systematic, maviwanja kila siku ni renovation tu na bado yanakosa ubora. Toeni pesa iteni mafundi wazuri njoeni hata Tanzania kuna mafundi wazuri wawafanyie renovation ya maana na sio hao mafundi jua kali wakikenya. Mm nikionaga mnafanya renovation ya kitu chochote alafu nikaona mafundi ni Wakenya huwa nacheka sn mana najua ni renovation ya kijua kali.
📌📌📌🔨 😂😂😂😂 Nimeshapiga kwenye mshonoPole sana kafuatilie historia ya Ethiopia vizuri utajua madudu ya huyo unayemsemea.
Pia una exposure ndogo sana na historia wewe.
Miaka hata ya nyuma wanawake walikua wakitawala ila hawakuonesha umahiri bali ni ubovu wa madaraka.
Wewe ni jinga kama sio punguani,Kwa hiyo kabla ya 2015 Kulikuwa hakuna Bugando wala KCMC? Stupid.Aiseeee!?
1)Nani alijenga hospitali za kanda!?
-Bugando
-KCMC
-Mloganzila
2)Nani alijenga hospitali ya MOYO akapunguza gharama za kwenda nje ya nchi kutibiwa india JKCI(Jakaya Kikwete Cardiac institute)?
3)Nani aliyeleta mpango wa kuboresha huduma za hospitali za rufaa ili kupunguza rufaa muhimbili national hospital?
Nijibu hayo maswali kwanza.
Maana anachofanya Samia ni kuendeleza tu kwa kuongeza vituo vipya na vifaa tiba.
Hizo CT SCAN NA MRI na vifaa tiba vingine nani alianza kuvileta!?
Nani alijenga Benjamin Mkapa Hospital!?