Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo hizi takwimu za serikali ni uongo ila zako ndio sahihi si ndio? 👇👇View attachment 2978655View attachment 2978656View attachment 2978657
Hii ni sapphire nilokwambia.
Zipo blue,pink na kijani.
Ya kijani ndio yenye thamani zaidi.
Hizo hapo ni pink sapphire gram moja ni $ 980 kama walivyoeleza hapo.
Ibadili iende kwa shilingi za kiTanzania ni milioni na kitu.
Kitu cha mwisho cha kukueleza.
Serikali inajikita katika dhahabu kwasababu dhahabu ndio madini yanayofaa thamani yake kwa mbadilishano na fedha,na kwa kuwa na higher durability ndio madini yaliyochaguliwa kuwa mbadilishano na fedha na kuwa sehemu ya hazina kwa sababu tatu.
1)Dhahabu ina wepesi kuipata.
2)Dhahabu ina wepesi kuihifadhi na ikabaki kuwa bora.
3)Dhahabu haina process nyingi na iko na characteristics moja kwa kila aina ya dhahabu,ipige moto inakua safi,sio kama gemstone kutunza gharama pia hainaga durability.

Ndio maana gemstone huuzwa sana nje kwasababu ya mapambo.

Leseni ya mchuuzi wa dhahabu ni Tzsh 250,000.
Leseni ya mchuuzi wa gemstone za bei ya juu (Almasi,sapphire,ruby,Tanzanite) ni Tzsh 1,800,000.
Labda wawe wamebadilisha.
Kaulizie watu wa madini kama nimeongopa uje unikosoe.
Screenshot_2024-05-02-08-09-26-12_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg

Picha inayofuata chini ni ruby iliofanyiwa mnada itizame thamani yake.
HIVI UNAWEZA IFANYIA MNADA DHAHABU KIASI HICHO!?
Carat 50 ni sawa na gram 20+ ila thamani yake mabilioni ya Tanzania.
Dhahabu gram 20 ni sawa na milioni 2.6+.
Screenshot_2024-05-02-08-09-26-12_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-05-02-08-02-31-53_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Germstone ni valueless usinipotezee mda.

Back kwenye main topic,kazi inaendelea 👇

View: https://www.instagram.com/reel/C6ahLntNlTN/?igsh=MTJqZzJpeG9lb2w2bQ==

Shida yako una ujuaji mwingi halafu hauna unalolijua.
Nimekuletea bei ya Tanzanite,je Tanzanite na dhahabu ipi ina thamani!?
Embu kuwa kama msomi basi bro acha uzwazwa.
Gemstone unazosema hazina thamani ni zile za makilo kama garnet na rhodolite.
Gemstone group moja na Almasi zina thamani duniani.
Si nimekuletea ushahidi mbona unakaza fuvu!?
 
Hii ni sapphire nilokwambia.
Zipo blue,pink na kijani.
Ya kijani ndio yenye thamani zaidi.
Hizo hapo ni pink sapphire gram moja ni $ 980 kama walivyoeleza hapo.
Ibadili iende kwa shilingi za kiTanzania ni milioni na kitu.
Kitu cha mwisho cha kukueleza.
Serikali inajikita katika dhahabu kwasababu dhahabu ndio madini yanayofaa thamani yake kwa mbadilishano na fedha,na kwa kuwa na higher durability ndio madini yaliyochaguliwa kuwa mbadilishano na fedha na kuwa sehemu ya hazina kwa sababu tatu.
1)Dhahabu ina wepesi kuipata.
2)Dhahabu ina wepesi kuihifadhi na ikabaki kuwa bora.
3)Dhahabu haina process nyingi na iko na characteristics moja kwa kila aina ya dhahabu,ipige moto inakua safi,sio kama gemstone kutunza gharama pia hainaga durability.

Ndio maana gemstone huuzwa sana nje kwasababu ya mapambo.

Leseni ya mchuuzi wa dhahabu ni Tzsh 250,000.
Leseni ya mchuuzi wa gemstone za bei ya juu (Almasi,sapphire,ruby,Tanzanite) ni Tzsh 1,800,000.
Labda wawe wamebadilisha.
Kaulizie watu wa madini kama nimeongopa uje unikosoe.View attachment 2978675

Picha inayofuata chini ni ruby iliofanyiwa mnada itizame thamani yake.
HIVI UNAWEZA IFANYIA MNADA DHAHABU KIASI HICHO!?
Carat 50 ni sawa na gram 20+ ila thamani yake mabilioni ya Tanzania.
Dhahabu gram 20 ni sawa na milioni 2.6+.View attachment 2978675View attachment 2978679
Kwa hiyo Zina thamani kuzidi Madini mkakati na gold? Germstone ni valueless na vulnerable to price fluctuations ndio maana hazitumiwi hata kwenye kutunza thamani ya pesa au forex reserves.
 
Kwa hiyo Zina thamani kuzidi Madini mkakati na gold? Germstone ni valueless na vulnerable to price fluctuations ndio maana hazitumiwi hata kwenye kutunza thamani ya pesa au forex reserves.
Nimekupa sababu kule juu sababu zipo nyingi.
Wewe unaleta ngonjera.
Madini mkakati yana thamani ila umewahi kusikia yanatumika katika hazina!?
Narudia tena dhahabu kuchaguliwa kwake ni
-Rahisi kupatikana.
-Characteristics moja hufanana.
-Higher durability.
-Rahisi kuitunza.

We gemstone kila mwezi ukaisafishe hiyo pesa unayo!?
Screenshot_2024-05-02-08-00-44-23_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Shida yako una ujuaji mwingi halafu hauna unalolijua.
Nimekuletea bei ya Tanzanite,je Tanzanite na dhahabu ipi ina thamani!?
Embu kuwa kama msomi basi bro acha uzwazwa.
Gemstone unazosema hazina thamani ni zile za makilo kama garnet na rhodolite.
Gemstone group moja na Almasi zina thamani duniani.
Si nimekuletea ushahidi mbona unakaza fuvu!?
Nimekuweka majedwali Yana aina zote za madini tunazozalisha na thamani yake,Kwa hiyo umeona Tanzanite inazidi gold?

Ona kilo za Tanzanite hapa na pesa ilizoleta ,ni aibu yaani kilo 👇
Screenshot_20240501-114216.jpg
 
Sasa huyo ng'ombe haoni aibu kupost video ya kuwapa moyo kama hiyo? Yani kwa sasa imefikia hatua watanzania wa kawaida wanapost video alafu inakuwa gumzo ndani ya Kenya, wadada wa watu waliongea tu ukweli wala hawakuwa na bifu na mtu lakini wakenya na inferiority complex yao wame take it serious🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kunyan walivyoreact kwa hasira while ndio ilivyo kikawaida kwetu wa TZ tuwaonavyo wakenya
 
Nimekupa sababu kule juu sababu zipo nyingi.
Wewe unaleta ngonjera.
Madini mkakati yana thamani ila umewahi kusikia yanatumika katika hazina!?
Narudia tena dhahabu kuchaguliwa kwake ni
-Rahisi kupatikana.
-Characteristics moja hufanana.
-Higher durability.
-Rahisi kuitunza.

We gemstone kila mwezi ukaisafishe hiyo pesa unayo!?
View attachment 2978685
Uzito huo huo ingekuwa ni Dhahabu bei ingekuwa hiyo bil.80?
 
Nimekuweka majedwali Yana aina zote za madini tunazozalisha na thamani yake,Kwa hiyo umeona Tanzanite inazidi gold?

Ona kilo za Tanzanite hapa na pesa ilizoleta ,ni aibu yaani kilo 👇View attachment 2978687
Ona ulivyo unachekesha.
Katika hiyo ripoti yako kuna sehemu kumeandikwa gram na kumeandikwa ct/carat.
Sehemu ya Tanzanite iliyoandikwa ct/carat imeingiza fedha nyingi kushindana na dhahabu za hapo juu.
Umejiuliza kwa nini kuna sehemu ya ct na gram?
Nakusihi tena soma maelezo ya soko la vito vya almasi na mfanano wake.
Nimekuletea maelezo ya TUME YA MADINI kwanini hawaweki bei elekezi ya madini ya vito.

Screenshot_2024-05-02-08-29-35-24_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2024-05-02-08-30-49-47_e2d5b3f32b79de1d45acd1fad96fbb0f.jpg
 
Ona ulivyo unachekesha.
Katika hiyo ripoti yako kuna sehemu kumeandikwa gram na kumeandikwa ct/carat.
Sehemu ya Tanzanite iliyoandikwa ct/carat imeingiza fedha nyingi kushindana na dhahabu za hapo juu.
Umejiuliza kwa nini kuna sehemu ya ct na gram?
Nakusihi tena soma maelezo ya soko la vito vya almasi na mfanano wake.
Nimekuletea maelezo ya TUME YA MADINI kwanini hawaweki bei elekezi ya madini ya vito.

View attachment 2978688View attachment 2978690
Fanya conversion wewe nyumbu acha kulia lia
 
Nionyeshe
Jibu ni simple...Azam ni modern stadium while hio uliopost ni ancient outdated old stadium...facilities zilizopo kwenye Azam Complex hilo gofu lenu halina...stadium kama uliyopost huku Tanzania zipo kila mkoa...uwanja hauna hata taa za kuchezesha mechi usiku
Nionyeshe hizo stadiums ambazo ziko kila mkoa otherwise wacha kudanganya wau hapa. Nyayo stadium has all the faciliies that Azam can only dream of.. indoor arena, swimming pool etc
 
1 carat= 0.2 grams.
60 carats=12 grams.
Inamaa hiyo ruby ilikua na gram 12+ ikauzwa bilion 80.
Dhahabu gram moja tzsh 137,000.
Inamaana gram 12 sawa na shingapi!?
Piga mahesabu mwenyewe.
Weka highest bei ya Dhahabu kama ilivyokuwa bei ya ruby.

Mwisho mbona hutaki takwimu za Wizara ya Madini inakomaa na habari za kuokoteza?
 
Labda Tume ya Madini ndio wanajianisha nakochukua takwimu
Zichambue hizo takwimu.
Pia nakupa msisitizo maelezo ya tume ya madini hayajaweka bei ilekezi ya gemstone.
Jiulize kwa nini!?
Soma hiyo ripoti vizuri bei elekezi ya madini yote imewekwa,kwa nini almasi na gemstone wamesema itapimwa kulingana na mng'aro na ubora!?
Umejiuliza kwa nini!?
Naomba nikuache hapo mkuu.
Screenshot_2024-05-02-08-30-49-47_e2d5b3f32b79de1d45acd1fad96fbb0f.jpg
 
Nionyeshe

Nionyeshe hizo stadiums ambazo ziko kila mkoa otherwise wacha kudanganya wau hapa. Nyayo stadium has all the faciliies that Azam can only dream of.. indoor arena, swimming pool etc
Nionyeshe imetokana na neno Onya

Nioneshe imetoka na neno Ona.

Kama unalengo la kuona; unatakiwa uandike Nioneshe

Kama unalengo la kuonya unaandika, nionyeshe.

NIMEKUPATIE ELIMU YA BURE YA KISWAHILI
 
Back
Top Bottom