KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Mmmmhhh jengo gan hiloMombasa ina more than 20floor Alafu munalinganisha na .c.jui mwanza..
Mmmmhhh jengo gan hiloMombasa ina more than 20floor Alafu munalinganisha na .c.jui mwanza..
Jamaa ...kwAnza more than tenBuilding........Alafu c.jui mnasema ati...sijui...mwanza.......msa iko.ligi ya dar lkn c.semi....more develop than darMmmmhhh jengo gan hilo
Mmmmhhh jengo gan hilo
Population.. Nawapea lkn soon 2tawapitaAnd what is the population of kisumu? Bear it mind.. Kampala is the largest city followed by Mwanza city..which is hardly 800k people.
Leta mfano wa mawili tu yalioishaJamaa ...kwAnza more than tenBuilding........Alafu c.jui mnasema ati...sijui...mwanza.......msa iko.ligi ya dar lkn c.semi....more develop than dar
Mbili tu. Staki mengineJamaa ...kwAnza more than tenBuilding........Alafu c.jui mnasema ati...sijui...mwanza.......msa iko.ligi ya dar lkn c.semi....more develop than dar
Wakati mnahamia mjini.. Na sie tinahamia.. Wakati mnazaana.. Huku ndio hatari tukishiba tu tunazaa.. Sikia kwa idadi ya watu ni zoezi LA kitaalamuPopulation.. Nawapea lkn soon 2tawapita
Urban city area ndio kinachoongelewa, tuliza akilikama unaongea kuhusu area kisumu ina area kubwa kuliko dar,sababu kisumu na Nakuru ni counties kama Nairobi tu
Ndio maana kuna mwenzio alisema nairobi Gdp is 40 nikamuuliza swali inamaana 15 iliobakia ndio imegawanywa sehemu zote kenya iliobakia, maana ni akili ndogo itunike😀😀😀Hapa ni Nairobi vs Dsm wewe unaleta figures za Tz vs Kenya. Hukuweza hata kuelewa hilo jambo dogo?
Kuna kitu serikali ya hapo Tz inabidi kufanya ili kuboresha elimu na uelewa wa watu kama wewe.
Iyo.....unaota.........ngoja 2030Wakati mnahamia mjini.. Na sie tinahamia.. Wakati mnazaana.. Huku ndio hatari tukishiba tu tunazaa.. Sikia kwa idadi ya watu ni zoezi LA kitaalamu
Kwa sasa Mwanza ita-takeof ikishatangulia kuizidi itakuwa ndoto... Ni kama kwenu hakuna mji in between Mombasa na Nairobi utakuja kukua kuzidi hiyo miji miwili. Kwasababu ni suala LA kisayansi.
Kenya watu tumeshatemebea sana usifkiri tunaongea mawazo ya ndotoni, na tumeona vile maisha ni magumu hayana mfano huku chakula kikiwa na gharama ya juu kuliko kitu chochote, kwa kifupi umaskini ulioko kenya ni mkali sana kuliko wowote ndan ya ukanda wa EaN.iliask Mtz mmoja ..bona kukam kuishi..Kenya......ati ..ananishow..ati juu. Yaa pesa.....yah.kenya iko juu..sasa auze mayai for 1 year Alafu arudi tz akabwage...mapesaa..........ma254 c.iyo..niushamba....na slaveless
Toa uchafu wako apa. 22 floor.![]()
Mwehu wewe tunazungumzia nakuru town is just 300Nakuru pu.....600000.......county. ..1.7m
Yani wasipoeka filter utasema ni magereza😀😀Hivi hayo ni yale magofu ya allepo au
Fala Wewe....ii nipicha yah 2013.....iyo tower iliisha kitamboToa uchafu wako apa
Tunataka jengo lililoisha
You had since beginning of time to populate your land .. What an extra 20years will do?!Iyo.....unaota.........ngoja 2030
Mutatupita nani atazaa sasa hvi kenya, wakati baa la njaa linawasumbua leo miez 11 hakuna suluhisho😀😀Population.. Nawapea lkn soon 2tawapita