kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,341
- 2,218
Andamana mpaka CAF HQ kaka😀
Andamana mpaka CAF HQ kaka😀
Nikukumbushe Tu Daraja la Likoni lilianza kabla ya Daraja la Salendar na Daraja la Magufuli now tunaelekea kuzindua Daraja la Magufuli.Amekua site miezi mbili Sasa hamna matokeo.
Langata Rd Southern Bypass interchange. 😎
Asante kwa kupost picha ya zamani ya Azam complex 🤣🤣🤣🤣🤣
Tunaweza kufanya yote kwa pamoja, GDP yetu inaruhusu, $150b co mchezo.Wa Arusha hamjaanza mnaongelea Dodoma.
Kwanza mkuu haina haja ya kubishana nao save your words, huoni wanatuvuta kwenye upumbavu wao?Hio dash inaweza kusoma hata 300kph onesha video ikienda hio 200kph. Kuna VW Golf 2.0Fsi dash inasoma 260kph na kuna Nissan Patrol Y62 dash inasoma 240kph. Hio VW haizidi 210kph wakati hio Nissan inamaliza 240kph ndani ya muda mfupi sana. I'm talking from experience!
AseeAngalia yard stick iliyotumika kuyapa justification ya mafuriko huko kunya land..
We lead... They follow... Kimya kimya
View attachment 2977716
Naskia ujenzi uwanja wa Dodoma upo mbioni pia, kweli? Au changa la macho la Msigwa?
View: https://youtu.be/sl99LgKMEto?si=qCe705a1qRayMZ8A
Lazima wajilinganishe na wakubwa zao regionally lakini wanachoshindwa kuelewa Dar ni coastal city iko kwenye lowlands.Angalia yard stick iliyotumika kuyapa justification ya mafuriko huko kunya land..
We lead... They follow... Kimya kimya
View attachment 2977716
Kwa mimi mkuu naona uwanja mmoja tu unatosha kuwa na running tracks.nakuuliza michezo ya riadha ikija ifanyike wapi? Kwa taarifa yako stadiums ambazo hazina running track huwa mara nyingi ni zile za clubs yaani binafsi! Huyo Msemaji ni mpuuzi nae! Kwahiyo kwako wewe michezo ni soccer tu!?
Wewe Umepotoshwa kama huyo Msemaji japokuwa at least Mkapa Stadium imebaki vilevile! Mambo ya kuondoa track waachiwe wakina Azam na si viwanja vya serikali! Mkapa pale ulipo haujawahi kujaa unataka kuondolewa running tracks kujaza viti ili iweje? Akili za makamasi ni kupenga!
Wembley stadium London
![]()
Olympic stadium Berlin
![]()
Stade de France Paris
![]()
Shaghai stadium
![]()
Beijing National stadium (Bird's nest)
![]()
Usi-cram mambo kwa vile kila weekend unaangalia Premium league! Mechi huchezwa viwanja binafsi vya clubs kule! na kumbuka pale Uhuru nafasi hamna kama wanataka kujenga jukwaa upande wa pili inabidi running track iondolewe!
Yaani jirani akipata kamradi kamoja kelele huwa nyingi eti daily dose baada ya mradi huu mradi mwingine mkubwa utakuja 2035.
Maskini akipata matako hulia mbwata 🤣🤣🤣
Viwanja vya serikali lazma viwe multipupose kama nchi Tajiri zinazingatia hilo, sie nani tupuuze?Kwa mimi mkuu naona uwanja mmoja tu unatosha kuwa na running tracks.
Maana Tanzania hatuna sana mashindano ya riadha.
Uingereza mashindano ya riadha yapo mengi.
Toka kuwepo na hizo running tracks BWM stadium unakumbuka kuhost riadha mwisho mwaka gani!?
Kichaguliwe kiwanja kimoja kinatosha.
Nchi tajiri mathalan Uingereza uliyotaja sababu za multipurpose zinafanya kazi mkuu.Viwanja vya serikali lazma viwe multipupose kama nchi Tajiri zinazingatia hilo, sie nani tupuuze?
Wacha upuuzi! Unataka kututia hasara!Nchi tajiri kama mathalan Uinegreza uliyotaja sababu za multipurpose zinafanya kazi mkuu.
Uingereza michezo ya riadha iko kwa wingi.
Tanzania hata hatukumbuki mwaka gani mwisho ku host hayo mashindano.
Kiwanja kimoja au viwili vinatosha kaka.
Sio kila kiwanja cha serikali kiwe na running track halafu hazitumiki ipasavyo.
😂😂😂😂😂😂.Wacha upuuzi!