Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu dogo kafanya kazi nzuri sana kwenye hii SGR yetu wakuu, clips zake kuanzia za tiktok na YT zinazidi kutupaisha kimataifa, kiasi flani pia wakundustan walikua wanauhadaa ulimwengu sababu watanzania tulikua hatufunguki kihivyo kupitia international languages kama English, sasa kazi wanayo.


View: https://twitter.com/DavidHundeyin/status/1785267663322656824?t=7NOk5pH7GrxJbEFtJF7RLw&s=19

I wish moto tuliokuwa nao miaka 15 iliyopita kule SSC tungekuwa nao leo, now with some receipts of course.
Geza Ulole NDINDA mnakumbuka? Geza mpaka wakenya wakamtoa dima. Hatari sana...
😀
 
I wish moto tuliokuwa nao miaka 15 iliyopita kule SSC tungekuwa nao leo, now with some receipts of course.
Geza Ulole NDINDA mnakumbuka? Geza mpaka wakenya wakamtoa dima. Hatari sana...
😀
Saivi vita imesambaa kwenye social media zote, halafu zamani ilikua hata ngumu kwa watanzania wengi kuwashawishi kwamba Kenya sio chochote kutokana na mass brainwash waliofanikiwa, kiukweli hata mimi kabla kufika Kenya nilikua nina picture yangu kichwani tofauti sana kuhusu Kenya, walikua wameihype sana tofauti na uhalisia

Kuna watanzania wengi walikua kwenye hizi vita wanakaa upande wa Kenya ila kadri tulivyokua tunawavua nguo taratibu uelewe ukasambaa, saivi hakuna mtanzania anababaika na Kunyaland sababu wamejulikana ni wa hovyo kabisa.
 
I wish moto tuliokuwa nao miaka 15 iliyopita kule SSC tungekuwa nao leo, now with some receipts of course.
Geza Ulole NDINDA mnakumbuka? Geza mpaka wakenya wakamtoa dima. Hatari sana...
😀
Miaka hiyo tulikua pabaya lakini tulikua tunawapeleka moto 😂. Receipt zingewafaa sana na midomo yao mirefu kama SGR ya Tanzania 😂.
 
Asante kwa kupost picha ya zamani ya Azam complex 🤣🤣🤣🤣🤣
Si wewe ndio ulipost hii picture this month ukisema ni current? Ama sio wewe?😂😂
IMG_0157.jpeg
 
Kwa mimi mkuu naona uwanja mmoja tu unatosha kuwa na running tracks.
Maana Tanzania hatuna sana mashindano ya riadha.
Uingereza mashindano ya riadha yapo mengi.
Toka kuwepo na hizo running tracks BWM stadium unakumbuka kuhost riadha mwisho mwaka gani!?
Kichaguliwe kiwanja kimoja kinatosha.
Hivi ngoja niulize kuna shida gani uwanja ukiwa na running tracks? Unakosa sifa ya kuwa uwanja wa soka? Unashindwa kuchezewa mpira? Watazamaji wanakosa fursa ya kuangalia mpira vizuri? Uwanja unaonekana mbaya? Ni shida gani inatokea uwanja ukiwa na running tracks? Maana naona ni ‘kila mtu’ sasa imekuwa trend kukataa running tracks na sioni mkisema sababu, naomba kuelimishwa tafadhali.
 
Back
Top Bottom