buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Nikuache tu, seems wa juzi wewe. Ukute nabishana na wa dot.com.1. Nimekuuliza unipostie the exact thing that he said, maanake nawajua nyie ni watu wa kulialia. Wacha nikupe mifano.
Leo hii ndio nimejua mlikua na reli kutoka Arusha hadi Voi mkaingóa kisa hamtaki Port ya Mombasa ifaidike juu ya ukaribu wa Arusha na Mombasa. Wakenya tungewafanyia kitendo kama hiki hamngewai nyamazia. Hadi sai watoto wenu wa chekechea wangejua Wakenya wana roho mbaya kisa waling'oa reli ili msifaidike. Unaona tofauti?
Juzi juzi mkachoma vifaranga wa Kenya. Kisa hicho kishasahaulika huku Kenya ila ingekuwa Kenya imewafanyia hilo, hamngewai nyamaza. Hadi watoto wadogo mngewakaririsha.
Mkifungua hiyo Nyerere bridge yenu, Rais wenu alipiga Wakenya low jab eti ''Utasikia wengine wakisema daraja hili ni la kwao sababu wanapenda kusema vyote vizuri ni vya kwao". Hayo matamshi hata huku Kenya watu hawana habari yalisemwa. Mimi nayajua sababu mliyapost humu. Ingekuwa ni Kenya hata kama ni Diwani ameyatamka hayo, hamngewai nyamaza. Mngelitumia kueneza chuki dhidi ya Wakenya hadi mchoke.
Kuna lile la Judge wa Talent search hapo kwenu kudisqualify mtu kisa ameuimba wimbo kutoka Kenya. Kenya tungefanya kitendo kama hicho, mngetuandika kwa kitabu chenu cha chuki.
Hadi vitu visivyo vya chuki kama jina la ndege mnadiscuss hadi kwa parliament eti tunawaibia mlima.
That's why I tell you, your problem is inferiority complex. You blow things out of proportion, whine a lot and had a generally negative attitude towards Kenya. Nyie hamwezi saidika.
Huyo Rosemary Odinga hujamuona?