REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,229
- 10,913
High quality, mi sidhani kama hawa Wachina watatengeza kwa quality ya Yapi. Halafu mziki bado ile mipini kukinukisha. Wachina wamelipua sana BRT phase 2.Wanahitaji kichapo! Ila SGR imeshtua watu si Nigeria si Ghana si Ukunyani si South Africa!