Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yemen kuna SGR?



Screenshot_20231130-150348_YouTube.jpg

Screenshot_20231201-214757_1.jpg
Sawa tufanye diesel locomotive zenu zinakimbia kuliko electric train zetu, are you happy now 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tuliwaambiaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
So what bongolala? Umeumia kuona uwanja ilijaa sasa unatafuta vijisababu?

These things happen even in European leagues so sijui point yako ni nini haswa
Hiki kichaka cha Europe league umekitoa wapi?

So huko Kenya ni ulaya, puuzi sana badala ya kucondemn tabia hiyo unailea, unadhani inaleta picha gani kwa watu wa mpira mpaka kupigiana mabomu watoto?
 
Hiyo ni Canopy.

Again what’s the distance from Dar to Dodoma?😂😂
Wanakuambia 722km in 3hrs, yani eti train yao inaenda 240kph na hapo hujatoa stoppage time. Ukitoa hiyo unapata zaidi ya 300kph - Yana wanasema train yao imetoshana speed na bullet train za Japan. 🤣 🤣 🤣 Nikisema masomo ya Tz ni duni mnasema nawaonea buffalo44 .
Kinjekitile Saba naye anasema Dar to Moro ni 194km na Moro to Dom ni 422km. Meanwhile Goole maps zinasema hivi
Screenshot 2024-04-24 120757.png
Screenshot 2024-04-24 120838.png



262+198 = 460. Ikumbukwe hii ni distance ya barabara. Barabara huwa na kona nyingi kuliko railway. Ukiiweka kwa railway hiyo distance haitofika 430km.
Chamoto
Geza Ulole
tuusan

Elimu yenu ni duni na inaonyesha. Vitu za kutumia akili kidogo zinasumbua watu.
Halafu inaonyesha wengi wenu hamtembei, mmekaa tu hapo Tandale maanake distances between major towns kama hizi kwa mtu anayetravel nchi yake anazijua kwa vidole.
 
So, electrified SGR inazidiwa speed na diesel SGR? NairobiWalker hebu njoo utuambie hapa mana hata like hamjapa ndugu yenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu nyang'au kipmeno arap Teargas amebaki kujiliwaza. Ananifurahisha kweli kweli😎
 
Tuone imetoka wapu, usitufanye watoto, maana nyie mbwa kwa kujichomeka umuhimu kwa mambo ya Tz hamjambo.

Nasikia lile ngijangija mshaliforce liwe 140km mradi mlete mdogo. Wakati kitu inajieleza.



 
So, electrified SGR inazidiwa speed na diesel SGR? NairobiWalker hebu njoo utuambie hapa mana hata like hamjapa ndugu yenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
SGR can’t either be diesel or electric. Kwani elimu ya Tanzania is always this low?
 
Back
Top Bottom