Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mfano wa Lugha za Kibatu na mfumo wa maneno:-

The root in Proto-Bantu is reconstructed as *-ntʊ́. Versions of the word Bantu (that is, the root plus the class 2 noun class prefix *ba-) occur in all Bantu languages: for example, as bantu in Kikongo, Kituba, Tshiluba and Kiluba; watu in Swahili; ŵanthu in Tumbuka; anthu in Chichewa; batu in Lingala; bato in Duala; abanto in Gusii; andũ in Kamba and Kikuyu; abantu in Kirundi, Lusoga, Zulu, Xhosa, Runyoro and Luganda; wandru in Shingazidja; abantru in Mpondo and Ndebele; bãthfu in Phuthi; bantfu in Swati and Bhaca; banhu in kisukuma; banu in Lala; vanhu in Shona and Tsonga; batho in Sesotho, Tswana and Sepedi; antu in Meru; andu in Embu; vandu in some Luhya dialects; vhathu in Venda and bhandu in Nyakyusa.
 

View: https://youtu.be/m9z5IPEYht4?si=LCBl2iaPz4FkrriR


MY TAKE
SGR Uvinza-Msongati mkandarasi kutajwa Mwezi Mei!


Tumezua balaa kubwa sana, mi nacheka kwakua hii wanayoshobokea kwa sasa kwanza haiendi full speed halafu ni 3rd class hapa Tanzania, yaani ile mipini bado haijaanza kukinukisha. Itakuwa balaa!

Unawasikia wajinga huko Ghana wakishangilia ujinga "power, power"! Sipati picha hii ingekuwa kwetu

View: https://twitter.com/sayhameed/status/1782702753686360541
 
Tumezua balaa kubwa sana, mi nacheka kwakua hii wanayoshobokea kwa sasa kwanza haiendi full speed halafu ni 3rd class hapa Tanzania, yaani ile mipini bado haijaanza kukinukisha. Itakuwa balaa!

Unawasikia wajinga huko Ghana wakishangilia ujinga "power, power"! Sipati picha hii ingekuwa kwetu

View: https://twitter.com/sayhameed/status/1782702753686360541

Hawa na Kundustan lao moja wanapenda kujikweza pia! Utaskia the the fatest SGR in the whole of Africa!
 
Ukisikia lending of words ndio maanaye kutohoa.
Kutohoa ni uazimaji wa msamiati toka lugha ya kigeni na kuutumia katika lugha nyingine husika.
In the case of Arabic influence on Swahili language, there's no lending of words. Arabic shaped/influenced Swahili as a language up to 40%. That's the difference
 
Nimepitia mkuu kuna maelezo mawili.
Yapo yanayosema bantu na yapo yanayosema sio bantu mkuu.
Ila kwa mimi nimeukubali upande wa bantu kwa sababu moja mkuu,asili ya wanaoongea hiyo lugha ya Yoruba ethnically ni bantu.
Yoruba is not a bantu language.
 
😂😂😂😂😂😂Aiseee.
ni nini maana ya 'ethnolinguistic'!?
Argue like someone who went to school. If I may ask you, mwalimu anaitwaje Kwa hiyo lugha yako iitwayo kibantu?
 
Hehehe Nye Nye Nye 🤣🤣🤣
Screenshots_2024-04-23-20-24-42.png
 
Back
Top Bottom