babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,307
- 35,733
Yule Joyce tulifanya akatawala awamu moja naona na huyu wa sasa hivi na yeye anataka atawale awamu moja, joke. 😂😂😂Nyerere alimwambia kamuzu Banda kuwa kama ziwa ni la Malawi basi wanatakiwa kulipia kila wimbi ya maji linalo gusa pwani yetu.