Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyayo stadium hii hapa imetumika jana lakini popoma anasema iko under construction. 😂😂😂


View: https://x.com/sallybolo/status/1782355395744235772?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw

Kukosa akili ni kitu mbaya sana.

Screenshot_20240422-170832.png
 
Thanks for google at least now you know what construction and renovation are.

By the what's your level of education? Did you even attend Kindergarten?
Ulisema Nyayo ipo under construction wakati wote tunajua wana mpango wa kufanya renovations!
Hujui maana ya under construction na renovations.
 
Baada ya kuingia cha kike anajaribu kuhepa kwa kuuliza elimu ya mtu,
Yaani aliyeingia chaka anaulizia elimu ya aliye sahihi. 😂😂😂
Wewe huna elimu yoyote beyond primary school. I even doubt if you stepped into Primary School.
 
Back
Top Bottom