Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Suala la Malawi kwani wewe hulijui?
Mipaka imechorwa toka miaka ya Nyerere kuwa Tanzania inamiliki sehemu ya Ziwa Nyasa kama Ilivyo Ziwa victoria.
Malawi wanataka kumiliki Ziwa lote,je hilo wewe unaona sahihi??
Punguza ufala kidogo.
Malawi na mozambique mpaka upo katikati ya ziwa lakini kwa Tanzania wanataka mpaka uwe kwenye beach zetu hilo haliwezekani na ni kinyume na sheria za kimataifa.
 
Na yeye ataje vitu vya kundurenda ambavyo Tanzania tunaclaim kuwa ni vyakwetu
Nakutajia vitu vitatu ambavyo Kenya mli claim vyenu.
1)Mt.Kilimanjaro.
2)Olduvai gorge.
3)Nyerere bridge.
Je bado unakataa?
 
Na yeye ataje vitu vya kundurenda ambavyo Tanzania tunaclaim kuwa ni vyakwetu
Tena ile ishu ya Nyerere bridge ilizua tafrani.
Yani ile siku daraja linazinduliwa tu na picha kurushwa mitandaoni,wakenya lukuki wali edit picha na kudai hilo ni daraja la Mombasa aiseeee!?
Aya ya Olduvai gorge yule dada Mpumbavu anaongea mbele ya hadhira akisema kasoma Olduvai gorge iko Kenya,asa sijui syllabus gani hiyo.
 
Mmeuanza mjadala wenyewe mkisema Mombasa ilikuwa ya Zanzibar sultanate. Sasa mbona hasira?
Siyo Mombasa tu all the way toka Cabo Delgado mpaka Lamu! Kwani hizo maps za Bwana wenu Mwingereza huzioni?

1000010860-jpg.2970689
 
Sasa kati ya TZ na Kunya nani ana shida ? Maana as we speak hamuelewani na jirani yeyote. You don’t get along with Somalia, Uganda, Ethiopia, South Sudan.. afadhali Hata Tz tunaustahimilivu juu ya Tabia zenu za Hovyo. Ethiopia huwa wanawapelekeaga tu moto. Ukweli usemwe. Mna tabia za Hovyo.
Kwanza hata wao kwa wao hawaelewani.😉😉
 
Sisi sio ndugu wa damu nao kama Zanzibar mbona unakuwa mzito ku grasp vitu ambavyo viko obvious?
Ndugu kivipi wakati hii mipaka imechorwa na wazungu? Sasa unataka useme Mnyakyusa wa Tanzania ana undugu wa damu na Mnzanzibari Mwarabu kuliko Mnyakyusa wa Malawi? Wacha kufikiria kama kuku mgonjwa.
 
Suala la Malawi kwani wewe hulijui?
Mipaka imechorwa toka miaka ya Nyerere kuwa Tanzania inamiliki sehemu ya Ziwa Nyasa kama Ilivyo Ziwa victoria.
Malawi wanataka kumiliki Ziwa lote,je hilo wewe unaona sahihi??
Punguza ufala kidogo.
Nyerere alimwambia kamuzu Banda kuwa, kama ziwa ni la Malawi basi wanatakiwa kulipia kila wimbi la maji linalo gusa pwani yetu.
 
Nyerere alimwambia kamuzu Banda kuwa kama ziwa ni la Malawi basi wanatakiwa kulipia kila wimbi ya maji linalo gusa pwani yetu.
Why is it okay for you to explain why Tanzania is right on the issue but when someone explains why Kenya is right on the Somalia issue mnasema Kenya tuna ugomvi na majirani?
 
Back
Top Bottom