Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View: https://twitter.com/ChineseEmbTZ/status/1782295607912157591?t=XMKOW_5umAgcIfDUarl6UQ&s=19
1355381121.jpg
2046841582.jpg
-1609318350.jpg
-1006438630.jpg
693030805.jpg
-1280534384.jpg
425724569.jpg
331808889.jpg
-256869300.jpg
721052165.jpg
 
Zanzibar ni part ya Tanzania hizo imagination zako hazisaidii kitu maana wewe sio Mungu kujua kuwa Zanzibar ingejiunga na Tanganyika ama la.
Hawa wakunya machakani wajinga sana yani mtu anaamka anaamua kuja na upupu wake na kubishia historia!
 
Wewe ni kama Kima hivi. Nchi kubwa iliyo na resources nyingi haiwezi ikajiunga na nchi nyingine. Kanchi kadogo katakua more willing kujiunga na nchi nyingine. Ndio maana nakwambia kama Zanzibar Sultanate ingekuwa na ukubwa iliyokuwa nayo haingekuwa na motivation ya kujiunga na Tanganyika maanake wangekuwa na kila kitu including security.
Hizo akili zako ni za kinyangaunyangau mnaweka maslahi mbele kuliko ubinadamu ndio maana mpo hapo mlipo kwasababu ya ubinafsi. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar was more than ardhi na resources sisi ni ndugu na tulisaidia ndugu zetu kujitoa katika makucha ya kikoloni kama tulivyofanya kwa nchi nyingine Southern africa.
 
Sasa mbona hizo nchi za Southern Africa hazikujiunga na nyinyi?
 
Kuhusu hilo la eti sijui kuiba vyenu na kuwaharibia jina.

Hivi jirani mgani tumekosana Naye? Hapo juu mnapost tussles zenu na Malawi alafu uongelee sisi kukosana na majirani?
Suala la Malawi kwani wewe hulijui?
Mipaka imechorwa toka miaka ya Nyerere kuwa Tanzania inamiliki sehemu ya Ziwa Nyasa kama Ilivyo Ziwa victoria.
Malawi wanataka kumiliki Ziwa lote,je hilo wewe unaona sahihi??
Punguza ufala kidogo.
 
Back
Top Bottom