game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
Sasa kati ya TZ na Kunya nani ana shida ? Maana as we speak hamuelewani na jirani yeyote. You don’t get along with Somalia, Uganda, Ethiopia, South Sudan.. afadhali Hata Tz tunaustahimilivu juu ya Tabia zenu za Hovyo. Ethiopia huwa wanawapelekeaga tu moto. Ukweli usemwe. Mna tabia za Hovyo.Sasa tabia zetu vipi na tunapendwa kwengine kwote. On the other hand, Kuna video ya Mnijeria humu akiwalalamika mlivyo wabaguzi na kujifanya wazungu. Nyinyi tu ndio mna chuki?😂😂😂