NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,976
Wewe uko brainwashed.😂😂😂You sure mnapendwa hapa Africa?
Bragging hadi vitu visivyo vyenu ili mradi muonekani wazuri, yaani mnatafuta kupendwa hata kwa vitu visivyo vyenu.
Usichekeshe walionuna.
Juzi hapa mkenya wa YouTube alikua anafanya misinformation kuhusu black Americans kuja Bongo, na kubrag about Kenya, baada ya kuona influx ya black Americans Tz.
Sometimes Fanya follow up ya jambo kabla hujaja kubishia.