Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hot air as usual... Hewa tu..

Maneno mengii... Ponit hakuna...

Maoni ya nani unasemea hapa!?
Eri maoni ya nani? Hiyo video mnayotembeza hapa ni maoni ya nani kama sio ya mtu binafsi?
 
So hutaki iwe mall 😂😂😂😂 au hujaamini kama IPO moshi
Bongolala, I know that building is in moshi and I also know that it's not a mall. By the way, what's the name of that "mall"
 
No order at all, too low for that kind of state figure, helipad haina demarcation jaluo wanaikimbilia kama wameona kamongo, mtakuja mfe vibaya sana kwasababu ya ushamba wenu na mnajua hayo matakataka hayana warranty anytime kinahappen, anyway RIP
Bongolala, I've just told you that that's not today's video. Why are you looking for relevance where there's none?
 
Alafu Ndugu zetu wana Mashemeji Derby kesho ila habari nzima ya Mpira ni Simba na Yanga.

Justice for Sofapaka bus
View attachment 2969117
....
IMG_20240420_223225.jpg
IMG_20240420_223223.jpg
 

Alaf zitakusaidia nn Yani unafkiri Tanzania inaeza tishiwa na Malawi nchi ambayo tumeipambania Uhuru Sisi wenyewe😂😂😂

Na hii case kwa taarifa yako haijaanza Leo wala Jana na kila wakianzisha case ni lazma washindwe 😂😂😂


View: https://twitter.com/SurvivorAbdul/status/1780108364975833248?t=c3uASw6GzwLdtI375ZGEXw&s=19
 
Wapi nilionekana kukubaliana nawe, kuhusu chuki or lingine?

Kwanza hii EA ni Nchi gani imekosana na kila jirani?
Kuhusu hilo la eti sijui kuiba vyenu na kuwaharibia jina.

Hivi jirani mgani tumekosana Naye? Hapo juu mnapost tussles zenu na Malawi alafu uongelee sisi kukosana na majirani?
 
Back
Top Bottom