Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni kama Kima hivi. Nchi kubwa iliyo na resources nyingi haiwezi ikajiunga na nchi nyingine. Kanchi kadogo katakua more willing kujiunga na nchi nyingine. Ndio maana nakwambia kama Zanzibar Sultanate ingekuwa na ukubwa iliyokuwa nayo haingekuwa na motivation ya kujiunga na Tanganyika maanake wangekuwa na kila kitu including security.
Roho inakuuma nn? Au baada ya kugundua Nairobi haioni ndani kwa quality hotels za Zanzibar? BTW Kabla ya Muarabu unajua visiwa vile nani alikuwa anakaa? Unajua kabla ya Zanzibar Kilwa ndo ilikuwa mwamba wa ukanda woote wa East Africa! Muulize Ibn Batuta!
 
Kumbe unajua Mt. Kilimanjaro ilikuwa yetu.
Dam it seem nimewrong haukua kwenu Mt. Kilimanjaro sisi ndio tunataka pwani yetu.

1000010860.jpg
 
Roho inakuuma nn? Au baada ya kugundua Nairobi haioni ndani kwa quality hotels za Zanzibar? BTW Kabla ya Muarabu unajua visiwa vile nani alikuwa anakaa? Unajua kabla ya Zanzibar kilwa ndo ilikuwa mwamba wa ukanda woote wa East Africa!
You're arguing like a fool.
 
What make you say this?
The purchase of the Kenyan coast from the Zanzibari Sultanate happened at the same time the purchase of the Tanzanian coast happened. If both purchases hadn't happened, Zanzibar would have been a large country at independence and would not have had the motivation to join with Tanganyika.
 
Kuna visiwa kama vya Comoro ni vidogo ila ni Nchi, ila Zanzibar iliingia Muungano.

Sababu za Muungano ni zaidi ya udogo wa Nchi.
 
Kuna visiwa kama vya Comoro ni vidogo ila ni Nchi, ila Zanzibar iliingia Muungano.

Sababu za Muungano ni zaidi ya udogo wa Nchi.
1. Comoro iko mbali na nchi zingine, haingemake sense Comoro kuijiunga na nchi nyingine kwa sababu ya huo umbali.
2. Kama Zanzibar wangemiliki pwani ya Tanzania na Kenya yote, niambie kipi kingine wangetaka ndio wajiunge na Tanganyika? Kumbuka mji wenu mkubwa Dar es Salaam ungekuwa Zanzibar. sasa ni ni mngekuwa mnawaoffer ndio wakubali kujiunga nanyi?
 
Back
Top Bottom