babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,906
Evidence ndo huna?Wanajeshi 30 wa Tanzania wameuliwa. Wakenya wangapi walikufa DRC?
Evidence ndo huna?Wanajeshi 30 wa Tanzania wameuliwa. Wakenya wangapi walikufa DRC?
Nakubali, ni chizi.Huyo chizi Teargas tiwagas usimchukulie sana serious,bado hajapona uchizi
Bila TID huyu daktari asingeandika hayo maneno.
View: https://x.com/geegoh001/status/1777743942311674026?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Tengenezeni makaburi wataletwa hapo karibuniEvidence ndo huna?
Kwani TID ndio the owner of English words?
Hayo maneno kaiga kwa msanii wa Tanzania anaitwa TID kenge wewe kakuonesha na video hapo hujaelewa nn ww makalio 😅😅😅👇👇👇👇Unaita mwenye amekushinda kwa urevu ati fala?
Hata hiyo pia bado hujui what it means. Do you really know what passing around means?
Huyo msani wa Tanzania ndio alibuni hayo maneno?Hayo maneno kaiga kwa msanii wa Tanzania anaitwa TID kenge wewe kakuonesha na video hapo hujaelewa nn ww makalio 😅😅😅👇👇👇👇
Give the evidence ni 30, fala sana hujaona ripoti ya SADC.Nyinyi tayari mshapoteza 30 soldiers. Hakuna kitu mbaya kuwa na weak and poor army at the same time.
Kichwa kimejaa kamasi hata sikulaumu the way ulivo hata sishangai 👇👇👇👇Huyo msani wa Tanzania ndio alibuni hayo maneno?
Toa physical features. Tunaongelea history. Physical features ni Geography na Kila nchi ina yake. Nipe mambo Watanzania kama binadamu wanayojulikana nao. Tanzania is not a famous country. Ndio maana Kila siku mnalia tumeiba mlima wenu, kama mngekuwa mnajulikana hilo halingemsumbua.Ushasahau kama Ngorongoro crater/Olduvai gorge ni miongoni mwa mambo yaliyoingia katika maajabu saba ya dunia??
Pia kumbuka kuwa Mt.Kilimanjaro ni miongoni mwa milima mirefu duniani hata Atlas inafahamu hilo.
Usisahau pia tuna ziwa la pili kwa kina kirefu duniani Lake Tanganyika.
Utaulizaje Tz inajulikana kwa lipi??
Wazi.I guess ulirudi Kama nishatoka then, nilitoka at around 1350hrs. Mitaa yangu ya shughuli nayo huwa Parklands, huko naendanga tu once a week.
Upuuzi mtupu😎😉babayao255 this is the definition of kufuatilia. Yani Hadi kwa redio zenu mnatudiscuss. Sisi ni mabingwa wa riadha na rugby duniani ila hutotupata tuna discuss kwa Nini Tanzania riadha yao Iko chini kwa redio.
Kwa hivo vitunguu huwa vinapitia Mombasa Port? Ndio maana ukafukuzwa Yemen.Nyinyi muna import mpaka vyakula vya mashambani imagine vitunguu na nyanya muna import unategemea nn hapo??😅😅 Achilia mbali unga, mchele etc
Ona ulivyo fala,kihistoria toka lini Kenya ikajulikana zaidi ya Tanzania!?Toa physical features. Tunaongelea history. Physical features ni Geography na Kila nchi ina yake. Nipe mambo Watanzania kama binadamu wanayojulikana nao. Tanzania is not a famous country. Ndio maana Kila siku mnalia tumeiba mlima wenu, kama mngekuwa mnajulikana hilo halingemsumbua.