Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii Arusha ama kuna Arusha nyingine?View attachment 2959753
Hapo vipi mkuu.? 👇
Moroto slums in Mombasa-min.jpg
Majengo-slums.jpg
mYLQzW4YZGAogXmE.jpg
😂😂😂 hii mombasa ni Zanzibar iliyokosa five star hotels.
 
Unguja City and Arusha city zote ni bora kuliko hiyo Mombasa. Kitu chenye kinaifanya mombasa kuwa relevant ni hiyo bandari tu in case you don't know. Otherwise Mombasa ni kilwa iliyochangamka 🤣🤣
Wewe kijana mdogo huwa unapata wapi nguvu za kuongea na kando ya Mwanza na Dar hamna mji mwengine ulioutembea?
 
Achana na huyo anajitekenya. Eti analinganisha Mombasa na Kijiji cha wavuvi cha Zanzibar!!

Sasa kama Mwanzacna Arusha ndio zimekosa majibu Kwa Mombasa hizo sijui Zanzibar mara Kilwa zitapata nguvu wapi?
 
🤣🤣 Mimi ninazo picha za kila mji nilioitembelea, nimetembea majiji yote Tz kasoro mbeya tu, na nimeishi Arusha, Tanga (home), Dar es salaam na Mwanza. Ila ukitaka picha za miji niliyotembelea pia ninazo. Naijua Tz vyema mno. Kula chuma hizo👇
IMG_20220610_094316_900.jpg
IMG_20220604_111429_251.jpg
.. hii mikoa ya kanda ya ziwa nimevuruga yote. Moro town 👇
IMG_20220511_070806_834.jpg
. Karibu kila mji unaopostiwa humu ndani mimi nilishakanyaga mji huo. 🤣🤣🤣
 
Achana na huyo anajitekenya. Eti analinganisha Mombasa na Kijiji cha wavuvi cha Zanzibar!!

Sasa kama Mwanzacna Arusha ndio zimekosa majibu Kwa Mombasa hizo sijui Zanzibar mara Kilwa zitapata nguvu wapi?
FYI Zanzibar ina 5 star nyingi kuliko sehemu yeyote EA! Wakati Mombasa haina hata moja!

Airport ya Zanzibar is way more moderner than ule Ukurutu wa Mombasa!

Real estate Ndo kabsaa ufunge hiko kishuzi!

Sports facility Mombasa haioni Nani kwa Zanzibar!

Ebu leta picha za hizo real estate Zanzibar tucheke kwanza ndio twende kwenye hayo mambo mengine uliyotaja
 
FYI Zanzibar ina 5 star nyingi kuliko sehemu yeyote EA! Wakati Mombasa haina hata moja!

Airport ya Zanzibar is way more moderner than ule Ukurutu wa Mombasa!

Real estate Ndo kabsaa ufunge hiko kishuzi!

Sports facility Mombasa haioni Nani kwa Zanzibar!

Peleka ujinga kule wee mzee, Nairobi has the most 5 star hotels in East Africa.
 
Back
Top Bottom