Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hawakupata ardhi somewhere near Arusha town? Hapo ni mashambani jamani. Even the type of houses in the first pic tells it all.

Yani Ile ya Dar izungukwe na uswazi alafu hii hapa mnaamua kujenga eneo kama hii!!
How did you know kwamba hapo ni mashambani.? 😂😂 Arusha ni green everywhere. And guess likija suala la majumba ya kitajiri and greenery hata Mombasa haitii pua mbele ya Arusha.
 
Dodoma city center View attachment 2955450View attachment 2955451View attachment 2955452View attachment 2955454dodoma imeendelea kuwa ya kijani kutoka kuwa ule mji mkame uliopauka few years ago.
Hii cbd ya jiji lenu kuu halina tofauti na Kisii town cbd
images - 2024-04-06T144010.497.jpeg
images - 2024-04-06T143950.839.jpeg
 
How did you know kwamba hapo ni mashambani.? 😂😂 Arusha ni green everywhere. And guess likija suala la majumba ya kitajiri and greenery hata Mombasa haitii pua mbele ya Arusha.
They say a picture speaks a thousand words. Kama aina ya nyumba nimeona kwenye hizo picha ndio za kifahari then I rest my case
 
They say a picture speaks a thousand words. Kama aina ya nyumba nimeona kwenye hizo picha ndio za kifahari then I rest my case
Kama unaona unajimudu na unaweza kuitetea mombasa dhidi ya Arusha city kwenye suala zima la makazi, twende ground tu, ukielemewa pia rukhsa kupost zile gorofa za 2 floors chakavu hapo Mombasa city center. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom