Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You haven't answered my question.
Mm situmii rocket science kukujibu ila nakujibu na evidence ndogo Sana na kama hujaelewa nenda kadai pesa yako shuleni kunguni wewe😆😆👇
Kwasababu Tanzania imepokea watalii 1.8m wakat nyinyi munasema mumepokea 1.9m SASA nashangaa kuona Tanzania imekusanya 3.41b USD wakat Kenya imekusanya 2.7b USD, au nahili pia unahitaj uwe na rocket science??🤣🤣🤣🤣🤣

Unless unambie mumepika data mayb mumepokea 1.2m munadanganya mumepokea 1.9 then hapo ni sawa 😆😆😆 na sitoshangaa kwasababu ni kawaida kwenu
 
Kumbe hata huu uwanja wao pendwa pia limezungukwa na uswazi. I had no idea😂😂😂

Inasikitisha kwamba AFCON itachezwa uswazini 2027
1711950588000.jpg
 
Eastleigh is on steroids. It needs to slow down!!
Green nets everywhere you look
1712294545814.jpg
1712294556033.jpg

Kule Dar is slum, jengo moja la ghorofa kumi or below likionekana linajengwa mahali midanganyika hushikwa na nyege na kuleta taarifa humu wakati sisi huku kwetu tumechoka kuona green nets tena ni jambo la kawaida sana
 
Hata Sisi tunaona ni Bora kuliko Ile ya tandale au sio 😅😅😅😅😅😅 gari ina umri sawa na Uhuru Kenyatta bado inabeba mafuvu yenye makomwe kama school bus na bado iko barabarani alaf Sisi Nye Nye Nye


View attachment 2954652View attachment 2954653
Bongolala, stop forcing issues. Sheria za Kenya haikubali ununuzu wa magari which are more than 8 years. Hata ulie ukipanda mlima Kilimanjaro lakini huo ndio ukweli.

Kama sio ukweli basi njoo ujaribu kuagiza gari kutoka nje which is more than 8 years old uone kama utafanikiwa
 
Eastleigh is on steroids. It needs to slow down!!
Green nets everywhere you look
View attachment 2954831View attachment 2954833
Kule Dar is slum, jengo moja la ghorofa kumi or below likionekana linajengwa mahali midanganyika hushikwa na nyege na kuleta taarifa humu wakati sisi huku kwetu tumechoka kuona green nets tena ni jambo la kawaida sana
Ingekuwa nyang'au wanakula hizo nyavu za kijani ningekuelewa😎😎😎
 
Ingekuwa nyang'au wanakula hizo nyavu za kijani ningekuelewa😎😎😎
Nanyi pia mngekuwa mnakula zile nyavu mbili ama tatu mnazopost humu whenever you come across a few buildings under construction in Dar ningekuekewa. Lakini Kwa sababu ni wivu za kike, kanyaga polepole ukisonga
 
Back
Top Bottom