Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaf Tanzania inaingiza 3.41b USD wakat nyinyi munaingiza 2.7b usd inamaanisha watalii wengi wanaokuja Tanzania ni watu wenye pesa na wanatumia pesa zaidi kuliko Kenya, VP hii iko clear??🤣🤣🤣🤣🤣
How do you determine how much a tourist has spent in your country? Anza kwa kujibu hilo swali ndio utagundua jinsi hii data ilivyo misrepresented.
 
Kwasababu Tanzania imepokea watalii 1.8m wakat nyinyi munasema mumepokea 1.9m SASA nashangaa kuona Tanzania imekusanya 3.41b USD wakat Kenya imekusanya 2.7b USD, au nahili pia unahitaj uwe na rocket science??🤣🤣🤣🤣🤣

Unless unambie mumepika data mayb mumepokea 1.2m munadanganya mumepokea 1.9 then hapo ni sawa 😆😆😆 na sitoshangaa kwasababu ni kawaida kwenu
 
Kiwanja cha mwanza kimekamilika nn??😅😅
Hvi kwann nguvu kubwa Sana inatumika kwenye hili Jambo kuna kitu gani nyuma ya pazia kwenye nchi hii
Umeona jinsi miradi Mingi ya viwanja vya ndege inaendelea? Hapo havijatajwa vile vinavyojengwa ndani ya Hifadhi za Taifa.

Kazi inaendelea Kwa Kasi sana

You haven't answered my question.
 
Umeona jinsi miradi Mingi ya viwanja vya ndege inaendelea? Hapo havijatajwa vile vinavyojengwa ndani ya Hifadhi za Taifa.

Kazi inaendelea Kwa Kasi sana
Nimekuuliza swali waziri kasema viwanja vilivokamilika ni vitano kimoja wapo ni mwanza SASA nakuuliza kiwanja cha mwanza kimekamilika kitu gani ?? Kwann inatumika nguvu kubwa Sana kuamisha watu hvi ?? Hakuna MTU hataki KAZI iendelee lakini how waziri anaongea maneno kama hayo wakat ukweli anaujua, inafkirisha Sana
 
Back
Top Bottom