Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe myemen endelea na wimbo wako wa render. Umishabanwa sasa unatafuta pa kutorokea kwa kuuliza umiliki wa majengo yaliyojengwa baada ya wewe kuimba chorus ya render hadi Koo ikakauka na mwishowe zikajengwa.

Kwa hizo miradi ulizotaja, ukionodoa GTC na Expressway, hayo mengine yote zinamilikiwa na wakenya

Nenda kajinyonge sasa😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ananiletea majengo ya wachina as if mumejenga nyinyi wapuuzi miradi almost 90% yote ni ya wageni yakwenu iko wapi

Serekali haina hata mradi mmoja kwa ajili ya wananchi wake Yani mpaka stadium munasubiri mchina ajenge kwa hela zake alaf aimiki 100yrs au😆😆😆😆

88nairobi inamilikiwa na mkenya gani🤣🤣
Na sio hio Tu majengo mengi Sana yanamilikiwa na wageni au unataka kubisha nn machizi nyinyi
 
GTC ulisema ni render
88 Nairobi ulisema ni render
CBK ulisema ni render
Expressway ulisema ni render
1780 Tower ulisema ni render
Altura ulisema ni render
Maybe we should just call him Mwarabu render…🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nairobi is beautiful.
20240404_124819.jpg
20240404_125345.jpg
20240404_125245.jpg
20240404_125536.jpg
20240404_125830.jpg
 
Back
Top Bottom