Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulikuwa tunaongelea kukua kwa shilingi ya Kenya ukasema inakua kisa tunakopa. Halafu umesema tunakopa kulipa madeni whili nyinyi mnakopa kufanya maendeleo. Ndio nimekuuliza, hivi mkopa wa maendeleo unazorosha shilingi wakati mkopo wa kulipa deni unaipa nguvu? Swali rahisi. Wacha kukimbiakimbia.
Ngoja nikuache naona akili yako imejaa kamasi, Kenya imekopa mikopo miwili tofaut mkopo wa Kwanza 250b kwa ajili shillingi yenu

alaf again 158b kwa ajili ya shs yenu na kulipa loan zenu ambazo zimesha mature ambayo ni 130b ksh, 😁😁😁😁😁😁 nchi imekufa kifo cha mende
 
siku mojamoja huwa napita mtandao wa tiktok,isee kuna madogo wa kitz wanawapelekea moto sana kule vijana wa kikenya mpaka huruma.

yaani huu mnyukano wa wakenya na watz hapa jf kule tiktok ni mara mbili yake.
Tuliwambia waliwakuta wazee wetu ni wapole na waungwana tukaja sisi tuaanzana nao na kuna kizazi tulikuwa tunakipa darasa how to defend their country sasa ndio wam eanzia huko tiktok hawashikiki.
 
Miezi Tisa billion 559 utafanisha na trillion 2.2 kwa mwezi au hizo akili umekalia?
Sasa si inategemea Ukubwa wa Uchumi wa Nchi ya Zanzibar.

Kumbuka Kwa Zanzibar ni vile vyanzo ambavyo sio vya Muungano,kwamba Kuna kiasi kama hicho kinakusanywa na TRA na kinasomeka kwenye Mapato ya TRA ya Jumla yakiwemo hayo ya 2.2 T.
 
Lake Turkana is a salty lake you idiot. It can’t be used for domestic purposes unless distillation ifanyike.
Hata Israel ni jangwa na amegeuza maji ya chumvi ya bahari kuwa maji bora ya kunywa na analima kilimo na kulisha dunia. Acha sababu nyepesi vp mlioombewa kazi na raisiwenu waambieni watawapa hins za huko wawaambie jinsi jangwa limekuwa kijani.
 
Back
Top Bottom