Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

waliniacha hoi walivyojenga barabara katikati kuna nguzo za umeme nlicheka kidogo nizimie.
Vululu Vululu 😁😁😁

20240402_141303.jpg
20230705_065119.jpg
20230705_065117.jpg
20230705_080801.jpg
20230529_204956.jpg
tapatalk_936676501_678x452 (1).jpg
984DC5A7-B04B-4C70-BD30-31E77B909ABA.jpeg
FVserThXsAAqXXo.jpeg
FoDk5_BX0AQ7A8J.jpeg
FoDk5_HWIAI0K7E.jpeg
 
Well paid by who wakat wako barabarani njaa tupu hata working environment sio salama kwao 🤣🤣🤣🤣🤣
Hapa hatutumii hisia wewe myemen. Hapa tunatumia facts

The highest paid doctor in Tanzania earns KSH 179,000
Screenshot_20240402-192819.jpg


Compare that with Kenya where the highest paid doctor earns KSH 339,000.
Screenshot_20240402-193420.jpg


Kila siku nakuambia wewe hakuna unachokijua, ni ujuha mob na kelele za kijinga
 
Well paid doctors are stricking patients are dying .

Sasa GDP inawalipa wa nini wakati wamekimbiza wagonjwa Kisa njaa Kali? 😂😂😁😁😁😁😁
These doctors are striking because of a number of reasons.

Ungefanya vyema kama ungethibitisha kwamba madaktari wa Tanzania wanalipwa mishahara minono kuliko wa Kenya. Ulichokifanya ni kuleta hisia humu
 
Wewe unaweza nipata kweli, hauna uwezo wowote mbali na domo domo shoga lizee 😛., ondoeni uswazi Dar karibia 90% kisha uje tusemezane.,
ondoeni huu ushamba eti makazi ya middle class.., taifa ni aibu kila kona, hamuwezi kuficha haya machoni pa wageni, uswazi imetapakaa hazifichiki, afadhali slums in nairobi lazima utafute:ICANT::ICANT:😛😛😛., Eastlands ya dar.
View attachment 2951885
Atakuambia hiyo ni Dar ya 90s ama hata akatae kabisa hapo sio Dar 😂
 
These doctors are striking because of a number of reasons.

Ungefanya vyema kama ungethibitisha kwamba madaktari wa Tanzania wanalipwa mishahara minono kuliko wa Kenya. Ulichokifanya ni kuleta hisia humu
Unavuta bangi za kibera, Doctors Wetu are well paid ndio maana huwasikii wakigoma plus benefits kibao.

Wakunya Wana Hali ngumu sana ya maisha,pesa inaishia kula na rent hamuwezi kununua hata plot ndio maana wanagoma.
 
Hii World Bank haipendi Tanzania kamwe, inawaonea, wanavuta mkia ukanda huu kwa HDI.., Mifukara kuruka, Report inaongelea Masomo ni duni, sector ya Afya bado sana., ufukara ndio umeongezeka zaidi.., yaani Tanzania is behind Uganda and Kenya na bado wanabweka humu..,
View attachment 2951761
Nilipenda vile serikali yao ilijaribu kujitetea kutokana na hii aibu.., taifa halikufunga but mifukara waliongezeka kwa wingi kwanza mwaka jana, hawakukua na maandamano lakini wapi! mizembe, watu bladfwakin kabisa😛😛.., health sector bado ni hovyo, kumbe ni vipicha tu wanatuwekea humu but empty services.., haitoshelezi mahitaji,
Masomo ndio msiseme, academic dwarfs wa EAC, uchumi hafifu..,
View attachment 2951770
Wengi bado wanaanguka kwa ufukara..,
View attachment 2951772
View attachment 2951773

Kisha wakulima wao ndio mafukura wa kutupwa, eti wanalisha Kenya, huwa narudia mara kwa mara tusiponunua mazao yao hawa kwisha, hawajiwezi ata kununua chumvi itakua kero.., kile world bank hawakumention peupe ni an external factor yenye ita affect wakulima wa Tanzania ni Kenya kukua na bumper harvest, mwaka jana tulivuna sana, so sijui kama mkulima wa Tanzania ako na ukombozi.., soko hakuna
View attachment 2951778
Jibu lako ni moja tu, kwamba watanzania wanaishi maisha marefu kuliko wakenya, hii manaake watanzania wana lishe bora, wana furaha kuliko wakenya, n.k 👇👇
Screenshot_20240402-205012~2.png
Screenshot_20231210-151458~2.png
 
Back
Top Bottom