ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
ZRA Hawa hapa 👇Simple tu ZRA target yao ni ndogo
View: https://www.instagram.com/p/C5S-rKJCfmy/?igsh=MWYzemo3ZHZ3YXMzMg==
ZRA Hawa hapa 👇Simple tu ZRA target yao ni ndogo
Kenya wanakopa pesa kulipa madeni yaliyo mature Nani mwenye afadhali 🤣🤣🤣🤣Kwa hivo ya kulipa madeni inafanya shilingi ikue na ya maendeleo inafanya shilingi izorote ama unajaribu kusema nini wewe kijana wa chumba cha kunya?
Kodi hizo zimewekwa na Samia? Na hazijawekwa Kwa bahati mbaya ziko Kwa sababu maalumu kabisa ya Barabara,Reli,Rea,Maji nk.Kwenye nchi hii mafuta ina Kodi 22 mpaka REA ina Kodi kwenye mafuta, uwe unapost usiogope 😁😁😁😁😁😁
Kama hajaweka anatakiwa azitoe kulingana na Hali ya kiuchumi, haina maana kwasababu mkate umepanda na kua 2000 na ww uwezo wako ni 1600 basi inatakiwa ununue nusu mkate ule ushibe😁😁😁😁😁Kodi hizo zimewekwa na Samia? Na hazijawekwa Kwa bahati mbaya ziko Kwa sababu maalumu kabisa ya Barabara,Reli,Rea,Maji nk.
Mwisho sio Tzn pekee yenye Kodi nyingi na kubwa kwenye Mafuta.
Serikali ilishakataa kuzitoa Kwa sababu zimefungamanishwa na sekta nyeti hivyo Iko radhi iweke ruzuku kwenye Mafuta Kwa kipindi ambacho bei zitakuwa not affordable ila sio kuzifuta.
My friend Tanzania sio Kenya hilo ujue that's why tumeweza kuleta bullet train ambayo kwenu ni ndoto za alinacha na kwa umri wako hutokuja kushuhudia treni ya umeme kenya.Hii itaanza kazi 2026 ?
Naskia uhaba wa stima Iko kwa record sahiii,
Shida kama Ethiopia
Siungi mkono kuzitoa,hizo Kodi zinafanya kazi sana Vijijini,nyie wa mjini hamuwezi elewa kinachozungimzwa hapa.Kama hajaweka anatakiwa azitoe kulingana na Hali ya kiuchumi, haina maana kwasababu mkate umepanda na kua 2000 na ww uwezo wako ni 1600 basi intakiwa ununue nusu mkate ule 😁😁😁😁😁
SASA kama zimefungamana na sekta nyeti inamaanisha Hali ya wananchi izorote kisa sekta nyeti vyakula vipande masokoni, Ada za shule zipande mashuleni, nauli za usafiri zipande kisa sekta nyeti, kua serious mzee hakuna uchumi bila wananchi weka akilini
Report ya CAG imetoka juzi umeiona vzr hio ndio sekta nyeti inafanya kazi??
Mafuta hayachagui wa mjini wala wakijijini, Yani mafuta ni kama msumeno unakataa na utakupelekea Moto kokote,Siungi mkono kuzitoa,hizo Kodi zinafanya kazi sana Vijijini,nyie wa mjini hamuwezi elewa kinachozungimzwa hapa.
Hii Nchi Bado ni mapori sehemu kubwa hakuna Barabara kabisa za kufungua uchumi.
Wa mjini ndio mnapiga Makelele sio Vijijini,huku tulishazoea shida.Mafuta hayachagui wa mjini wala wakijijini, Yani mafuta ni kama msumeno unakataa na utakupelekea Moto kokote,
Huwezi kufa njaa kisa mkate umepanda bei 2000 na ww uwezo wako ni 1200 utakachokifanya unatakiwa ununue nusu mkate ule ushibe Kwanza
Nchi ni kubwa huwezi kumaliza kujenga Barabara nchi nzima kwa miaka mitatu haiwezekani wakat mijini kwenyewe hujamaliza Barabara, doze dozee mzee
Tungekua na uchungu zile pesa zote zilizopotea kiholela kwenye report ya CAG tungezitafuta zikapatikana alaf zikaanza kujenga hzo Barabara unazotaka ww 🤣🤣🤣
eti TTCL inadai wateja wake sijui billion 6 alaf haitambui ni wateja gani inawadai
Mafuta hayachagui mzee mafuta ndio yanazungusha dunia au ww unaishi ulimwengu gani??🤣🤣🤣Wa mjini ndio mnapiga Makelele sio Vijijini,huku tulishazoea shida.
Ni kama vile Mwendazake alivyosemaga watu wa Mjini mliozoea kupishana angani ndio vyuma vilokaza ila wa Vijijini hizo shida ni sehemu ya maisha ya siku zote.
Wacha yapande so long as hela zinakuja kutufungulia miundombinu VijijiniMafuta hayachagui mzee mafuta ndio yanazungusha dunia au ww unaishi ulimwengu gani??🤣🤣🤣
Hao wazungu unaowaona wanaakili Sana lakini kwenye suala la mafuta hua wanakua na heshma na adabu.
Kenya wanakopa pesa kulipa madeni yaliyo mature Nani mwenye afadhali 🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1775453405621731378?t=f3cc4vHSuGrra3PUt-vB9g&s=19
View: https://twitter.com/Mkisii_mmeru/status/1775466607885611362?t=nw3TdTuVWWRust-HxDhh-Q&s=19
ChoiceVariable vitu kama hvo sikuoni ukitujuulisha kwanini??😁😁😁😁
View: https://twitter.com/millardayo/status/1775395075150721082?t=2dbACCaY6uCAP9mB13qD3Q&s=19
Narudia kukujibu kuna tofaut ya Yule anaekopa kulipa deni na Yule anaekopa pesa iende kwenye maendeleo 😁😁😁😁Hujajibu swali. Ukikopa ufanye maendeleo shilingi inazorota wakati yule amekopa kulipa madeni inapanda?
Kupanda kwa shilingi na kufanya maendeleo huku shilingi ikishuka kipi bora?Hujajibu swali. Ukikopa ufanye maendeleo shilingi inazorota wakati yule amekopa kulipa madeni inapanda?
Wafanyabiashara ya mahindi wachangamke mapema
View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1775448652447707179?t=mB93S3sl5l8hm06-Cp2EnQ&s=19
Tulikuwa tunaongelea kukua kwa shilingi ya Kenya ukasema inakua kisa tunakopa. Halafu umesema tunakopa kulipa madeni whili nyinyi mnakopa kufanya maendeleo. Ndio nimekuuliza, hivi mkopa wa maendeleo unazorosha shilingi wakati mkopo wa kulipa deni unaipa nguvu? Swali rahisi. Wacha kukimbiakimbia.Narudia kukujibu kuna tofaut ya Yule anaekopa kulipa deni na Yule anaekopa pesa iende kwenye maendeleo 😁😁😁😁
Wala haiitaji usomee rocket science, Kenya imekopa 250b ksh between Jan and Feb ili Ku stablize dollar against ksh, then Kenya hio hio inakopa 158b ksh kulipa eurobond ambayo tayar imesha mature, haya nambie hapo kuna nchi kweli 😁😁😁😁
PovuHii itaanza kazi 2026 ?
Naskia uhaba wa stima Iko kwa record sahiii,
Shida kama Ethiopia
