Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Joka la The best 007 limefika. 😂😂😂
IMG_5207.jpeg
IMG_5206.jpeg
 
Unavuta bangi za kibera, Doctors Wetu are well paid ndio maana huwasikii wakigoma plus benefits kibao.

Wakunya Wana Hali ngumu sana ya maisha,pesa inaishia kula na rent hamuwezi kununua hata plot ndio maana wanagoma.
How much are your doctors paid bongolala? Ndio tuanze kufanya comparision.

If you don't know, then shut the fvck up!
 
Striking ila ujumbe umefika kwamba GDP imeshindwa kuwalipa 😁😁
Imeshindwaje kuwalipa wakati the highest paid doctor in Kenya earns over 300k a month wakati kwenu daktari anayelipwa zaidi anapokea 190k a month? Sasa uchumi hafifu kati ya hizi nchi mbili ni gani?
 
Back
Top Bottom