Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,604
- 5,738
ponda hio kichwa usiruhusu wahamishe magoli kabisa.
ponda hio kichwa usiruhusu wahamishe magoli kabisa.
Haya tuliyasema hapa last month
peleka kabisa tupo nyuma yakoNaupeleka msiba kule twitter![]()
![]()
I don't see any interest. Watu wamesimama tu Ila hakuna Ile kuonyesha excitement. Ukweli ni kuwa convoy kama hiyo ikipita lazima watu watasimama kuangalia. Hata mimi nikihire convoy nipite katikati ya mji wowote hapo Bongo watu watasimama.......alafu nikitazama sura za wengine ni kama zinauliza swali huyu Ni mwendazimu yupi? Halafu jamaa mwenyewe amekazana kutokea juu ya sunroof akitupatupa mikono ilhali watu wanaangalia tu, hamna hata excitement. Wanashangaa huyu Ni Nani.🤣🤣Sasa huoni town yote stood still wanampokea DJ tu wa mitandaoni, angekua musician ingekuwaje? 😁😁
Msingetumia gharama yote hiyo kumleta mtu ambae hata payback cost of investment na profits ya kutosha unless hujui kama hiyo ni investment, mmemleta sababu mnajua kuna fans kibao wanamuadmire huko mashinani kwenu na ni marketable hiyo sio charity mzee, Tanzania ni nchi mnayoikubali sana na kuifatilia in details kataa kubali, mara ya mwisho msanii mkubwa kutoka kwenu sijui alifika lini Tanzania na mmekua mkilalamika kwanini Tanzania haireciprocate love mnatoa kwetu lakini bado hamjui tunachokitakaI don't see any interest. Watu wamesimama tu Ila hakuna Ile kuonyesha excitement. Ukweli ni kuwa convoy kama hiyo ikipita lazima watu watasimama kuangalia. Hata mimi nikihire convoy nipite katikati ya mji wowote hapo Bongo watu watasimama.......alafu nikitazama sura za wengine ni kama zinauliza swali huyu Ni mwendazimu yupi? Halafu jamaa mwenyewe amekazana kutokea juu ya sunroof akitupatupa mikono ilhali watu wanaangalia tu, hamna hata excitement. Wanashangaa huyu Ni Nani.🤣🤣
Alaf swali Tu rahisi Yule DJ kaalikwa so inakuaje yeye atumie pesa zake kuweka convoy ya magari 😁😁😁😁Sasa huoni town yote stood still wanampokea DJ tu wa mitandaoni, angekua musician ingekuwaje? 😁😁
I don't even know this guy? At first I thought it was Harmonize because of the background song. 🤣 🤣 🤣Msingetumia gharama yote hiyo kumleta mtu ambae hata payback cost of investment na profits ya kutosha unless hujui kama hiyo ni investment, mmemleta sababu mnajua kuna fans kibao wanamuadmire huko mashinani kwenu na ni marketable hiyo sio charity mzee, Tanzania ni nchi mnayoikubali sana na kuifatilia in details kataa kubali, mara ya mwisho msanii mkubwa kutoka kwenu sijui alifika lini Tanzania na mmekua mkilalamika kwanini Tanzania haireciprocate love mnatoa kwetu lakini bado hamjui tunachokitaka
Oyaa mkuu punguza matusi basi, tuna muda wa kutosha na joka.Nyie mikundu kunuka bullet train hii hapa, Tanzania sio Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2952298
Sifa ya kujisifu wenyewe ama? 🤣 🤣Hii nchi ina sifa sanawalahi.😀😀
tunafanya vitu vinaonekana vipi kwenu kwanza inawezekana hata ruto hayupo nchini ivi yupo au ashakwea pipa.Sifa ya kujisifu wenyewe ama? 🤣 🤣
Anayejisifu mwenyewe ni yule asiye na cha kusifiwa.tunafanya vitu vinaonekana vipi kwenu kwanza inawezekana hata ruto hayupo nchini ivi yupo au ashakwea pipa.
Hawaifuatilii Tanzania wakati wanamjua hadi huyo dj. 😂😂😂Msingetumia gharama yote hiyo kumleta mtu ambae hata payback cost of investment na profits ya kutosha unless hujui kama hiyo ni investment, mmemleta sababu mnajua kuna fans kibao wanamuadmire huko mashinani kwenu na ni marketable hiyo sio charity mzee, Tanzania ni nchi mnayoikubali sana na kuifatilia in details kataa kubali, mara ya mwisho msanii mkubwa kutoka kwenu sijui alifika lini Tanzania na mmekua mkilalamika kwanini Tanzania haireciprocate love mnatoa kwetu lakini bado hamjui tunachokitaka