Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kikosi cha Mizinga
1711734108457.png
 
Tanzania kuna sex tourism ambayo imenoga Sana🤣🤣🤣🤣
😂😂😂Kwani huko Naipori watu wanapiga puchu tu!!!

Au unafikiri na Sisi tukija kwenu huko tunakuja kinyonge🤣
Uzuri sisi hatuna ushamba kama wewe!!
Sikazi mwenyewe alijiona kapaa ta, demu mweupe, labda English kidogo inapanda, chini kumepigwa kitu kama wax...kweupee...ananukia vizuri. Akaona kaopoooa 🤣🤣🤣

Kumbe huku kwetu ni vitu vya kawaida tu, hata hapo kitambaa unapata. Ni maamuzi yako tu 🤣🤣
 
Dakar Rally haiezifikia Safari Rally. Just google the toughest World Rally Championship alafu hone penye Safari Rally ranks in.
unasemaje hapo??? HIO DAKAR iheshimu mzee sio rali za watu washakula gither na mutura. Katika watu 10 ukiwauliza dakar rally na safari rally wanaosema dakar ni6 na mmoja ama wawili ndio wanaijua safari rally.
 
Back
Top Bottom