Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We have conquered SADC😎
IMG_20240326_215801.jpg
 
🤣🤣🤣 Wow.!
Huyu jamaa anaongea ama anaropoka!?😂😂😂😂😂😂😂😂.
Yani Taifa stars ishuke akati kamfunga Mongolia?
Angekua muislam ningesema hajafuturu swaum kali.
😂😂😂
 
We jamaa mbona unaropoka??
Mashindano ya Fifa series yana point ya kuongeza katika Fifa rank.
Na Mongolia nimemfunga goli tatu tarajia point ziongezeke kima wewe.
Unaongea vise versa.
Kosugi hamna mahali nimeandika FIFA series haina point na hakuna kitu Kama vice versa manake hata sisi tumevuna points
 
Najua wewe bado bamdogo lakini usiwe mpumbavu kiasi hiki, FIFA series ni tournament ya kawaida sana hakuna kitu special ndani yake especially kundi lenu ambalo lina Mongolia na Bulgaria. Mechi zote za friendly Kati ya mataifa zinakua sanctioned (kutambulika) na FIFA na kwahivyo 4 nations tournament ambayo tumeibeba Leo inahesabika Kama points kwa harambee stars. Nyinyi mmeshiriki FIFA series lakini mmechezea kichapo kwahio tarajia kushuka.
Kama ni rahisi na ww shiriki tuone basi, acheni kubeza kitu wakat hakijawafikia kisa Adui yako anacho ndio uponde wakat mwengine mukubali ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣

Ili ww upande tuoneshe ni mashindano gani nyinyi munashiriki ya soccer,

Kichogo kama kirungu cha kipepe😂😂😂
 
Wengine wanajipa faraja kwamba watapanda rank za FIFA kufikia nafasi ya 100 lakini ajabu ni kwamba team yao haishiriki mashindano ya kimataifa, sasa najiuliza, je hizo ranks za fifa watapanda kwa ngazi au watapanda kama vile wanavyopanda matatu 🤣🤣🤣. Hawa watu ni maneno matupu bhana khaaa!!

Cc mwaiofhawaii Reborn Ktb ndugu yenu ameomba Argentina huyu bwana nairobae 🤣🤣🤣

Haya bhana kila la kheri, ila mjue kwamba baada ya mashindano ya FIFA series jamaa wata'update tena zile rankings, na si mnajua kwamba nyinyi hamjashiriki.? 🤣🤣
We hua fala sana kwani unadhani friendly matches hua hazitambuliki na FIFA, rank lazima tupande usiwe pumbavu ju hata hio FIFA Series muncheza ni friendly matches tu.
 
Kama ni rahisi na ww shiriki tuone basi, acheni kubeza kitu wakat hakijawafikia kisa Adui yako anacho ndio uponde wakat mwengine mukubali ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣

Ili ww upande tuoneshe ni mashindano gani nyinyi munashiriki ya soccer,
Kichogo kama kirungu cha kipepe😂😂😂
Wewe sasa ndo kumba kumba afadhali sama boy, hujui lolote lakini maneno meeengi Kama dadako. Sasa nani aliekudanganya hio FIFA series ilikua na qualifications, si mlipewa mualiko ili mujaze quota ya kikanda.
 
What is 4 nations tournament???
Friendly Match. Halafu SADC ipo na nchi 16.

SADC is a Regional Economic Community comprising 16 Member States; Angola, Botswana, Comoros, Democratic Republic of Congo, Eswatini, Lesotho, Madagascar, Malawi, Mauritius, Mozambique, Namibia, Seychelles, South Africa, United Republic of Tanzania, Zambia and Zimbabwe.
 
Wewe sasa ndo kumba kumba afadhali sama boy, hujui lolote lakini maneno meeengi Kama dadako. Sasa nani aliekudanganya hio FIFA series ilikua na qualifications, si mlipewa mualiko ili mujaze quota ya kikanda.
Kama haukuitwa na FIFA kaa kimya kibane hicho kijambio 😂😂😂 munakaa kubeza sijui FIFA series Nye Nye Nye shiriki na ww basi kama rahisi, tuna mengi Sana yakujivunia league yetu ni ya tano kwa ubora Africa hayo hatuzungumzi, yanga na simba zimeingia robo fainali CAF champion na tanzania ndio nchi pekee iliingiza team mbili Africa 😂😂😂😂

Tuna mengi Sana ya kujivunia kama nchi kwa hatua kubwa tulionayo hata Simba na yanga ni derby ya tatu au yanne kwa ukubwa Africa hakuna MTU anaongea hapa


View: https://twitter.com/CAFCLCC/status/1771869574343917842?t=Si_b9byd2tPl3TYN6ZdyZw&s=19
 
Does Bongo have anything original or do you have to imitate Kenya in everything… you would think after you revived your airline you would establish some original creativity… even your uniforms is imitation of Kenya mpaka the neck scarf…. 🤣🤣🤣
View attachment 2945197
We ni tako kweli hao ni waganga wa kienyeji uoni we unakatwa nini kwanza wazee hao
 
Hizo Q400 wangeongeza hata 3 hivi, maana hata rudi za hapa karibu, Lubumbashi, Comoro, Entebbe, Nairobi zinapiga fresh tu, halafu ATCL wafikirie pia mogadishu na juba......
Juba tayar wametangaza q400 wazifanye kwa ajili ya ndani humuhumu alaf waongeze tena boeing 737-9max kama mbili hvi kwa ajili ya ndani Africa alaf wanunue na B777 hata mmoja kwa ajili ya masala ya mbali pia
 
Back
Top Bottom