Bro unakimbilia mimi kutokuelewa!?Soma nilichoandika polepooole bila pupa ya kujibu utaelewa maana ulivyojibu inaonyesha hukuelewa.
Sio wewe uliyebisha intern Tz hawezi lipwa 450$??
Embu wacha nikuache.
Bro unakimbilia mimi kutokuelewa!?Soma nilichoandika polepooole bila pupa ya kujibu utaelewa maana ulivyojibu inaonyesha hukuelewa.
Unawajua wanyamwezi na wahehe vizuri wewe uliowataja???Sura mbaya za kihehe kizamwezi 😂
B787 ya April itakua ya 16 alaf kuna q400 itakua ya 17 hizo 3 zilizobaki ni zipi ?? Wanaojua watujulisheTunaendelea kuongeza idadi ya ndege. Wanadhani tunatania. Sasa zimefika 15. Na kwa kuanzia tunategemea zifike 20.
Wakenya wapo na ndege 3.
Nadhani Budget ya mwaka huu itatupatia picha. Walileta Ndege moja ya mizigo kwaajili ya kutest biashara hiyo. Nadhani kutakuwa na ndege zingine za mizigo.B787 ya April itakua ya 16 alaf kuna q400 itakua ya 17 hizo 3 zilizobaki ni zipi ?? Wanaojua watujulishe
Hawa ndio wanyamwezi unaowasema wana sura mbaya??Sura mbaya za kihehe kizamwezi 😂
Unaongelea jinsi pesa unayopata inaweza kumudu Mtanzania kimaisha nami naongelea jinsi medics Wakenya wanavyolipwa bora kushinda wa Bongo. Ndio maana nikakwambia hujaelewa nilichoandika. Kumudu kimaisha hata nusu ya hizo pesa mtu ataishi nazo tu, inategemea ni level gani ya maisha. Just because unaishi kwa dolla 400 kwa mwezi haimaanishi usilipwe zaidi ya hiyo. The main point ni kuwa, medics wa Kenya wanalipwa vizuri zaidi ya wa Bongo.Bro unakimbilia mimi kutokuelewa!?
Embu wacha nikuache.
Don’t switch goalposts..typical Bongolala… we are talking about uniform style… can you stick to that?…
Doh! Kuna point labda nikuweke sawa.Unaongelea jinsi pesa unayopata inaweza kumudu Mtanzania kimaisha nami naongelea jinsi medics Wakenya wanavyolipwa bora kushinda wa Bongo. Ndio maana nikakwambia hujaelewa nilichoandika. Kumudu kimaisha hata nusu ya hizo pesa mtu ataishi nazo tu, inategemea ni level gani ya maisha. Just because unaishi kwa dolla 400 kwa mwezi haimaanishi usilipwe zaidi ya hiyo. The main point ni kuwa, medics wa Kenya wanalipwa vizuri zaidi ya wa Bongo.
Dolla 400 ni mshahara duni popote duniani, the fact that unajimudu nao haimaanishi you can't do better. Dolla 400 ni pesa za mafuta pekee kwa mwezi kwa bei ya mafuta ya hapo Tanzania kwa mtu anayeishi hapo Tanzania na anaendesha gari la zaidi ya 2500cc na analitumia hilo gari kila siku kwa hivo ukisema hizo pesa zinakutosheleza ushaajitoa kwa walio na magari na kuyaendesha shughuli zao za kila siku. Utakuwa pia ushaajitoa kwa wanaoishi kwa nyumba zenye hadhi hapo hapo Dar. Utakua umejitoa kwa wale wapendao kuzuru sehemu tofauti na kujienjoy maanake kutoka hapo Dar uje Nairobi ulale hoteli nzuri siku moja na urudi Dar tayari hizo dolla 400 zishaisha. Hizo dolla 400 hata kusave ununue gari cheap kama Vitz already ni balaa. Kama huna haja ya kuimprove maisha yako, hata dolla 100 kwa mwezi utaishi nazo tu na ujitosheleze. Ndio maana nakwambia hiyo angle unayobisha nayo haiingiani na ninachoeleza hata kidogo na kama hivo ndivyo mlivyo hapo Bongo ndio maana hamna migomo despite the fact that mishaara yenu ni duni.
Kwahiyo nyingi Wakundustan Ndo wa kwanza duniani kutumia uniforms?Don’t switch goalposts..typical Bongolala… we are talking about uniform style… can you stick to that?…
Hawa ndio wahehe unaowasemea!?Sura mbaya za kihehe kizamwezi 😂
Unatupigia kelele hapa juu ya salary yet you are earning peanuts.Embu uache ubishi we jamaa.
Taratibu za Tanzania afisa tabibu mshahara wa kwanza laki nane na nusu za shilingi pamoja na marupurupu.
Daktari wa intern mwenye degree hupewa laki tisa na nusu mpaka milioni moja na laki moja.
Daktari wa degree ambaye ameshaajiriwa mshahara wa kwanza milioni moja na laki nne.
Uwe unaacha ubishi wa kitoto.
NIKUONGOPEE ILI NIPATE FAIDA GANI??
Badilisha hizo fedha kwenda kwenye dola.
Ukisemea hivyo nikianza kutaja Morogoro,Pwani,Tanga,Iringa,Mwanza na kwingineko maisha ni bei rahisi saaanaaaaa kuliko SEHEMU YEYOTE KENYA.
Na Dar es salaam kilicho bei ni masuala ya ujenzi labda na makazi.
Ila kuanzia vyakula mpaka mavazi mpaka matibabu hakujatofautiana na mikoa mengine.
Bado unaendekeza ubishani wa kitoto narudia tena laki nane mpaka laki tisa ya ki-Tanzania ina uwezo kusukuma maisha ya Mtanzania tena akiwa na familia.
Je kes elfu sabini ina uwezo wa kusukuma maisha ya Mkenya mwenye familia??
Nenda rudi mshahara wetu ni toshelezi wala sio umasikini BALI MSHAHARA WETU TOSHELEZI kwa gharama za maisha kitu ambacho Kenya kiko tofauti.
Hapa tutabishana mpaka kesho.
Au wewe bro unataka kunambia ghafla bin vuu umeingia kazini unataka mshahara mkubwa upate nyumba fasta na gari fasta??Doh! Kuna point labda nikuweke sawa.
Kuyamudu maisha na kutaka maisha ya juu ni mambo mawili tofauti bro.
Kwa hiyo 400$ nikiamua kusave naweza kusave na nikanunua gari japo itachukua muda kidogo na inategemea nitanunua gari aina gani.
Wapo wanaojenga kwa mshahara wa 300$ ambao ni walimu aisee.
Pia mie nimezungumzia kwa level ya elimu.Wapo wanaolipwa mpaka 600$ kwa mwezi mpaka 2000$ kwa mwezi kulingana na elimu,pia Tanzania kila baada ya miaka minne mshahara huwa unapanda kwa muhudumu wa afya.
Pia kurahisisha maisha Tanzania watumishi wa umma wana mikopo ya HARAKA NA BEI NAFUU YA KUJENGA NA BIASHARA.
Pia wanahimizwa kuweka mfumo wa bima eidha NSSF au PSSF.
Kuna mikopo ya magari kwa watumishi wa umma.
Hiyo laki nane na nusu kusema imejitosheleza ni katika uchumi wa kati sio wa chini.
Kwa hiyo hela nakula kuku na akiba naiweka.
Let's say kwa siku niweke 15k ya matumizi,kwa gharama ya maisha ya Tz inatosha kwa kula.
Niseme nitoe 5k ya nauli ukijumlisha kwa mwezi ni sawa laki sita.
Kiakiba inabaki laki tatu kasoro.
Nikitaka gari nyumba nitachukua option nyingine ambazo ni rahisi na wala hazikandamizi.
Huyo ni mimi wa diploma.
Na huo ni mshahara wa kwanza ndan ya miaka minne unapanda.
Je Kenya mna system hiyo?
Kuna jambo najadili na jamaa we kama unaona linakukera tuliza mshono mkuu.Unatupigia kelele hapa juu ya salary yet you are earning peanuts.