Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Poverty infested Tanzania inanunua ndege mpya cash ilhali kwenye budget wameweka kipengele cha grants (misaada) 😂😂 cha kima sh 5.47 trillions. No wonder tanzanians are the most dumbest nationality kwa sababu ya ill funded education sector. Kati ya dawati/daftari na ndege lipi muhimu. Alafu shirika lenyewe ni loss making halirudishi hata shilingi mojaView attachment 2945087
Sawa kwani kuna shida katika hilo?
Kenya mnakusanya kodi kutuliko ila bado mnakopa na hamuna mnachofanya,swali laja.
Je,kodi zinaenda wapi na mikopo mikubwa inaenda wapi!?
Maana hakionekani kinachofanyika kwenu licha ya makusanyo makubwa ya mapato mnayofanya kuliko sisi na mikopo mikubwa mnayokopa.
 
Heeeee!
Mbona unachekesha we jamaa??
Ngazi ya afisa tabibu sisi kwetu hatuna internship.
Sie tukitoka school twasajili leseni na kuingia kazini directly.
Waliosoma basic medicine(medical doctors) ama bachelor of medicine ndio wana internship.
Na wao wanalipwa wakiwa internship milioni moja na laki moja kwa mwezi ibadilishe kuwa dollar.
Pia kwangu mimi 400$ inanitosha kwa kuzingatia gharama za maisha ya Tanzania na thamani ya shilingi yetu.
850-900k tzsh mie ninafanya mahitaji na akiba kiasi naweka.
Usikute hiyo 70k kesh huyo jamaa haimmudu kwa gharama za maisha ya Kenya kuwa juu.
Maisha kwenu yana gharama sana ndio maana watu lazima wa demand pesa zaidi.

Bro....umepagawa nini? Kuna mahali nimesema nyie mna internship? Mimi nimekwambia kwetu wanafunzi wanalipwa $530 na wanalalamika, kwenu walio kazini wanalipwa $400 na hawalalamiki................tofauti yenu na sisi ni expectations. You're more comfortable in your poverty.
 
Poverty infested Tanzania inanunua ndege mpya cash ilhali kwenye budget wameweka kipengele cha grants (misaada) 😂😂 cha kima sh 5.47 trillions. No wonder tanzanians are the most dumbest nationality kwa sababu ya ill funded education sector. Kati ya dawati/daftari na ndege lipi muhimu. Alafu shirika lenyewe ni loss making halirudishi hata shilingi mojaView attachment 2945087
Rudi kwenye Mada Kwanza plz 🤣🤣🤣👇👇
Najua inaumiza Sana Sana but mos mos
Screenshots_2024-03-26-13-27-07.png
 
Sawa kwani kuna shida katika hilo?
Kenya mnakusanya kodi kutuliko ila bado mnakopa na hamuna mnachofanya,swali laja.
Je,kodi zinaenda wapi na mikopo mikubwa inaenda wapi!?
Maana hakionekani kinachofanyika kwenu licha ya makusanyo makubwa ya mapato mnayofanya kuliko sisi na mikopo mikubwa mnayokopa.
Wanakusanya hewa Tu KAZI kutengeza budget za uongo kila mwaka kujifanya Wana budget kubwa wakat kiuhalisia hakuna kitu chochote kinafanyika 🤣🤣🤣🤣🤣

Hawana pesa za kulipa madaktari bado wako hapa kupiga kelele😀😀😀
 
Bro....umepagawa nini? Kuna mahali nimesema nyie mna internship? Mimi nimekwambia kwetu wanafunzi wanalipwa $530 na wanalalamika, kwenu walio kazini wanalipwa $400 na hawalalamiki................tofauti yenu na sisi ni expectations. You're more comfortable in your poverty.
Unaona unavyojichanganya?
Mshahara wa 400$ ni wa ngazi ya diploma ya afisa tabibu.
Je wewe hao wanafunzi walio intern ni wa diploma ama degree??
Hata sisi internship ipo ila ni kwa wale wa bachelor degree na wao pia wanalipwa 450$.
Isiwe unalinganisha level mbili tofauti za elimu.
Embu nijuze hao intern wa level ipi ya elimu?
Maana hata sisi intern tunao ila sio sisi wa diploma.

Kuhusu umasikini tusidanganyane kaka Kenya mna gharama kubwa za maisha.
400$ kwa hela za ki-Tanzania ni sawa na laki tisa na kitu.
Kwa Tanzania laki tisa unafanyia mambo mengi ndugu yangu na ukijubajeti vizuri akiba unaweka.
Je kwa hiyo elfu sabini ya ki-Kenya unaweza ukamudu mahitaji kiutoshelezi??
Pia sie unapofanya kazi ndani ya miaka mitatu mpaka minne unapandishiwa mshahara,huwa haubaki vile vile.
Inshu sio kuridhika na umasikini wetu bali inshu mshahara wetu unaendana na gharama zetu za maisha.
Je Kenya iko hivyo?
 
Wacha ujinga, Intern hawezi akalipwa $450 na mfanya kazi akalipwa $400 hata kama huyo mfanyakazi ni wa diploma.

Likija swali la cost of living hamna tofauti kubwa sana kati ya Kenya na Tanzania kama unavyodhani. Yafaa ukumbuke pia Kenya sii Nairobi tuu, cost of living ya Nairobi inaweza ikawa slightly higher than ya Dar ila ukienda miji mingine kama Eldoret, Nakuru, Meru n.k, cost of living itakuwa chini ya Dar kwa hivo usijifiche kwa hiyo cost of living sana. Kubali tu mshahara wenu ni duni.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Other countries Airport tow tractors

View attachment 2945119

KUNDUSTAN Airport Tow tractor ( Hili si la enzi za Kilimo Kwanza 😂😂😂😂

View attachment 2945120
Watakwambia tow tractor iko garage 10yrs ago 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwani ww huoni majaruba pembeni ya runway, KAZI ni hio kulima
 
Back
Top Bottom