Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani Tanzania haikupata profit in operating cost ilipungusa loss within one year by 50% from 60b to 35b 🤣🤣🤣🤣 munaona ajabu wakat Sisi tushafanya

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1385870619141713921?t=Q1pmle-vbgfwcsNL38JIhQ&s=19

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1641033231863611392?t=UIbEcs5p0FGyMQNoHcWn_Q&s=19

Define an Operating Profit to us please. We would like to know the kind of Homo Erectus we are dealing with here.
 
Wengine wanajipa faraja kwamba watapanda rank za FIFA kufikia nafasi ya 100 lakini ajabu ni kwamba team yao haishiriki mashindano ya kimataifa, sasa najiuliza, je hizo ranks za fifa watapanda kwa ngazi au watapanda kama vile wanavyopanda matatu 🤣🤣🤣. Hawa watu ni maneno matupu bhana khaaa!!

Cc mwaiofhawaii Reborn Ktb ndugu yenu ameomba Argentina huyu bwana nairobae 🤣🤣🤣

Haya bhana kila la kheri, ila mjue kwamba baada ya mashindano ya FIFA series jamaa wata'update tena zile rankings, na si mnajua kwamba nyinyi hamjashiriki.? 🤣🤣
 
Poverty infested Tanzania inanunua ndege mpya cash ilhali kwenye budget wameweka kipengele cha grants (misaada) 😂😂 cha kima sh 5.47 trillions. No wonder tanzanians are the most dumbest nationality kwa sababu ya ill funded education sector. Kati ya dawati/daftari na ndege lipi muhimu. Alafu shirika lenyewe ni loss making halirudishi hata shilingi mojaView attachment 2945087
vipi nyie bajeiti mnajitegemea asilimia 100 ama kama sio funga bakuli lalko.
 
Wengine wanajipa faraja kwamba watapanda rank za FIFA kufikia nafasi ya 100 lakini ajabu ni kwamba team yao haishiriki mashindano ya kimataifa, sasa najiuliza, je hizo ranks za fifa watapanda kwa ngazi au watapanda kama vile wanavyopanda matatu 🤣🤣🤣. Hawa watu ni maneno matupu bhana khaaa!!

Cc mwaiofhawaii Reborn Ktb ndugu yenu ameomba Argentina huyu bwana nairobae 🤣🤣🤣

Haya bhana kila la kheri, ila mjue kwamba baada ya mashindano ya FIFA series jamaa wata'update tena zile rankings, na si mnajua kwamba nyinyi hamjashiriki.? 🤣🤣
Najua wewe bado bamdogo lakini usiwe mpumbavu kiasi hiki, FIFA series ni tournament ya kawaida sana hakuna kitu special ndani yake especially kundi lenu ambalo lina Mongolia na Bulgaria. Mechi zote za friendly Kati ya mataifa zinakua sanctioned (kutambulika) na FIFA na kwahivyo 4 nations tournament ambayo tumeibeba Leo inahesabika Kama points kwa harambee stars. Nyinyi mmeshiriki FIFA series lakini mmechezea kichapo kwahio tarajia kushuka.
 
Najua wewe bado bamdogo lakini usiwe mpumbavu kiasi hiki, FIFA series ni tournament ya kawaida sana hakuna kitu special ndani yake especially kundi lenu ambalo lina Mongolia na Bulgaria. Mechi zote za friendly Kati ya mataifa hua zinakua sanctioned (kutambukika) na FIFA na kwahivyo 4 nations tournament ambayo tumeibeba Leo inahesabika Kama points kwa harambee stars. Nyinyi mmeshiriki FIFA series lakini mmechezea kichapo kwahio tarajia kushuka.
🤣🤣🤣 Wow.!
 
Define an Operating Profit to us please. We would like to know the kind of Homo Erectus we are dealing with here.
Angalia Tu hio graph vile hua inakataa viuno zaidi ya mkongo 🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshots_2024-03-26-19-07-30.png
 
Najua wewe bado bamdogo lakini usiwe mpumbavu kiasi hiki, FIFA series ni tournament ya kawaida sana hakuna kitu special ndani yake especially kundi lenu ambalo lina Mongolia na Bulgaria. Mechi zote za friendly Kati ya mataifa zinakua sanctioned (kutambulika) na FIFA na kwahivyo 4 nations tournament ambayo tumeibeba Leo inahesabika Kama points kwa harambee stars. Nyinyi mmeshiriki FIFA series lakini mmechezea kichapo kwahio tarajia kushuka.
We jamaa mbona unaropoka??
Mashindano ya Fifa series yana point ya kuongeza katika Fifa rank.
Na Mongolia nimemfunga goli tatu tarajia point ziongezeke kima wewe.
Unaongea vise versa.
 
Back
Top Bottom