muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Hapo kwenye B777 sishauri kabisa, ule mzigo unahitaji uwe na uhakika wa abiria. 787 ni very economical kwa ruti ndefu, waongeze nyingine hata mbili.Juba tayar wametangaza q400 wazifanye kwa ajili ya ndani humuhumu alaf waongeze tena boeing 737-9max kama mbili hvi kwa ajili ya ndani Africa alaf wanunue na B777 hata mmoja kwa ajili ya masala ya mbali pia
Humu ndani pia demand inazidi ongezeka, natumai msalato ikikamilika itakuwa hub, kutakuwa na ruti za Dom-mwanza, Dom-zanzibar, Dom-Arusha, Dom- Dar kwa hiyo q400 zitahitajika sana