Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Doh! Kuna point labda nikuweke sawa.
Kuyamudu maisha na kutaka maisha ya juu ni mambo mawili tofauti bro.
Kwa hiyo 400$ nikiamua kusave naweza kusave na nikanunua gari japo itachukua muda kidogo na inategemea nitanunua gari aina gani.
Wapo wanaojenga kwa mshahara wa 300$ ambao ni walimu aisee.
Pia mie nimezungumzia kwa level ya elimu.Wapo wanaolipwa mpaka 600$ kwa mwezi mpaka 2000$ kwa mwezi kulingana na elimu,pia Tanzania kila baada ya miaka minne mshahara huwa unapanda kwa muhudumu wa afya.
Pia kurahisisha maisha Tanzania watumishi wa umma wana mikopo ya HARAKA NA BEI NAFUU YA KUJENGA NA BIASHARA.
Pia wanahimizwa kuweka mfumo wa bima eidha NSSF au PSSF.
Kuna mikopo ya magari kwa watumishi wa umma.
Hiyo laki nane na nusu kusema imejitosheleza ni katika uchumi wa kati sio wa chini.
Kwa hiyo hela nakula kuku na akiba naiweka.
Let's say kwa siku niweke 15k ya matumizi,kwa gharama ya maisha ya Tz inatosha kwa kula.
Niseme nitoe 5k ya nauli ukijumlisha kwa mwezi ni sawa laki sita.
Kiakiba inabaki laki tatu kasoro.
Nikitaka gari nyumba nitachukua option nyingine ambazo ni rahisi na wala hazikandamizi.
Huyo ni mimi wa diploma.
Na huo ni mshahara wa kwanza ndan ya miaka minne unapanda.
Je Kenya mna system hiyo?
Bro save Ur energy ukiskia zwazwa analogue ndio Huyo utaumiza kichwa bure 😂😂😂

Ushauri wangu ni huo
 
Hope utakua umelewa bro 😀😀

View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1772643612754346113?t=sZ-VjXBA0IhVTITAM5Dk1w&s=19

Screenshots_2024-03-26-19-07-30.png
 
Doh! Kuna point labda nikuweke sawa.
Kuyamudu maisha na kutaka maisha ya juu ni mambo mawili tofauti bro.
Kwa hiyo 400$ nikiamua kusave naweza kusave na nikanunua gari japo itachukua muda kidogo na inategemea nitanunua gari aina gani.
Wapo wanaojenga kwa mshahara wa 300$ ambao ni walimu aisee.
Pia mie nimezungumzia kwa level ya elimu.Wapo wanaolipwa mpaka 600$ kwa mwezi mpaka 2000$ kwa mwezi kulingana na elimu,pia Tanzania kila baada ya miaka minne mshahara huwa unapanda kwa muhudumu wa afya.
Pia kurahisisha maisha Tanzania watumishi wa umma wana mikopo ya HARAKA NA BEI NAFUU YA KUJENGA NA BIASHARA.
Pia wanahimizwa kuweka mfumo wa bima eidha NSSF au PSSF.
Kuna mikopo ya magari kwa watumishi wa umma.
Hiyo laki nane na nusu kusema imejitosheleza ni katika uchumi wa kati sio wa chini.
Kwa hiyo hela nakula kuku na akiba naiweka.
Let's say kwa siku niweke 15k ya matumizi,kwa gharama ya maisha ya Tz inatosha kwa kula.
Niseme nitoe 5k ya nauli ukijumlisha kwa mwezi ni sawa laki sita.
Kiakiba inabaki laki tatu kasoro.
Nikitaka gari nyumba nitachukua option nyingine ambazo ni rahisi na wala hazikandamizi.
Huyo ni mimi wa diploma.
Na huo ni mshahara wa kwanza ndan ya miaka minne unapanda.
Je Kenya mna system hiyo?

Broo....
Hivi vitu vyote ulivyosema Kenya vipo tena kwa wingi na ubora zaidi ya Tanzania. Banking sector ya Kenya iko mbele ya Tanzania na mbali sana ndio maana top 10 banks in eastern Africa (including Ethiopia, Somalia, Djibouti Na south Sudan) za Kenya Ni 7 while ya Tanzania Ni moja pekee. In fact banking sector ya Kenya ni kubwa kuliko the rest of Eastern Africa combined so Haya mambo ya loans usidhani yako Tanzania pekee.

La pili yafaa ujue loan hupewa kulingana na pato lako. Mtu anayepata Dolla 2000 kwa mwezi ataqualify kupata loan kubwa kuliko Yule wa 400.

Kwa mara ya mwisho, point yangu ni kwamba mshahara wenu ni duni kuliko wa Kenya, usinielezee jinsi unavyojipanga na kimshahara chako duni. Hilo halibadilishi ukweli. Nadhani nimemalizana na huu mjadala. Naomba tusiurudie tena.
 
Usiwe na waswas subiri profit and loss ya mwisho wa mwaka utacheka zaidi🤣🤣🤣

Operating costs are the expenses which are related to the operation of a business, or to the operation of a device, component, piece of equipment or facility. They are the cost of resources used by an organization just to maintain its existence.
Umekuja hapa na copy-paste ndio uonekane mwelewa?!🤣🤣

Kama unaumwa sana na hiyo faifa ya KQ nenda kajinyonge.

Meanwhile...
Screenshot_20230929-220932.jpg.jpg
 
Broo....
Hivi vitu vyote ulivyosema Kenya vipo tena kwa wingi na ubora zaidi ya Tanzania. Banking sector ya Kenya iko mbele ya Tanzania na mbali sana ndio maana top 10 banks in eastern Africa (including Ethiopia, Somalia, Djibouti Na south Sudan) za Kenya Ni 7 while ya Tanzania Ni moja pekee. In fact banking sector ya Kenya ni kubwa kuliko the rest of Eastern Africa combined so Haya mambo ya loans usidhani yako Tanzania pekee.

La pili yafaa ujue loan hupewa kulingana na pato lako. Mtu anayepata Dolla 2000 kwa mwezi ataqualify kupata loan kubwa kuliko Yule wa 400.

Kwa mara ya mwisho, point yangu ni kwamba mshahara wenu ni duni kuliko wa Kenya, usinielezee jinsi unavyojipanga na kimshahara chako duni. Hilo halibadilishi ukweli. Nadhani nimemalizana na huu mjadala. Naomba tusiurudie tena.
Itoshe kusema kuwa unalazimisha mambo yaonekane vile unavyotaka wewe.
Halafu nimezungumzia mikopo sikuzungumzia mifumo ya benki.
Tanzania katika taasisi ulioajiriwa palepale unaweza kuomba mkopo kazini sawa na yule anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wewe.
Achana na benki,nazungumzia mikopo ya kazini.
Favor za kazini za Tanzania huwezi fananisha na za Kenya.
Kama ingelikua mshahara wa Tz duni tusingemudu maisha.
Unajua maana ya mshahara duni!!??
Kichwa kweli wewe.
Mshahara duni haukidhi maisha.

Conclusion:Usilazimishe Tanzania tufuate nini Kenya inafanya,Tanzania inajitosheleza kwa mifumo yake yenyewe ya kinyumbani.

Case closed.
 
Kwahiyo nyingi Wakindustan Ndo wa kwanza duniani kutumia uniforms?
The issue is you couldn’t find another style.. at-least don’t make it obvious including the neck scarf tie method.. that’s unique for us and you copied exactly the same way…..same way we started the flag bracelet trend and now you are doing it..it goes back to Nyerere days.. we named our national team Harambee stars.. you followed us by calling yours Taifa Stars … why stars?.. am not saying the word Stars is exclusive Kenyan but you couldn’t find something else?.. Uganda did.. The Cranes …Kenya , the country that has been intimidating her southern neighbor since 1963… 🤣🤣🤣
 
—Revenue: +53%% to 178.5B
—Operating costs: +37.2% to 168B
—Operating profit (loss): 10.5B [2022: -5.6B]
—Finance cost: +2% to 33.6B
—Profit(losses) After Tax: -22.7B [2022: -38.2B]

Notes:
—No loans from govt in FY 23
—Unexpected FX losses of ~24B
—First operating profit in 7 years
IMG_20240326_192652.jpg
 
Am a student of history and Back in the days , Harambee Stars were the Kings of the region… we won everything. one time Harambee stars won CECAFA 3 straight years ..our 2 top teams .. AFC and Gor used to reach Finals of CECAFA cup every year no matter which country hosted the games… Corruption killed the Kenyan game in the late 90s to now..So hawa Majamaa wa Southie used to see Kenya as the best of everything mpaka wakaita timu Yao Taifa Stars … copied from Harambee Stars …🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom