Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio walileta ripoti na chanzo chao cha habari "standard.ke.co" kuwa Tz ndio nchi mojawapo inalipa madaktari vibaya.
Cha ajabu wao madaktari wao ndio wanaandamana tena kwa kukosa mishahara na mazingira mabovu ya kazi!
Tangu ujipige kifua humu eti unalipwa $400 as a CO nilijua madaktari Tanzania wana mshahara duni sana. Nyinyi hata hamfai kupanua midomo humu. $400 for a CO? Hapa interns (Yani wanafunzi) wanalipwa $530 (Kes 70k) na wanagoma wakidai waongezewe wewe mfanyakazi unajipiga kifua na $400? 🤣 🤣
 
Hawa jamaa zetu ni wazee wa empty talks kaka wazoee, wanaandaa wenyewe taarifa za kujiweka mbele ya Tanzania 😂😂😂
 
Check out the number of planes landing/departing JKIA versus JNIA. Only two planes for mabati rolling mills NairobiWalker.
Rudi kwenye Mada 🤣🤣🤣🤣🤣 najua inaumiza Sana but mosmos plz
Screenshots_2024-03-26-13-27-07.png
 
Tangu ujipige kifua humu eti unalipwa $400 as a CO nilijua madaktari Tanzania wana mshahara duni sana. Nyinyi hata hamfai kupanua midomo humu. $400 for a CO? Hapa interns (Yani wanafunzi) wanalipwa $530 (Kes 70k) na wanagoma wakidai waongezewe wewe mfanyakazi unajipiga kifua na $400? 🤣 🤣
Heeeee!
Mbona unachekesha we jamaa??
Ngazi ya afisa tabibu sisi kwetu hatuna internship.
Sie tukitoka school twasajili leseni na kuingia kazini directly.
Waliosoma basic medicine(medical doctors) ama bachelor of medicine ndio wana internship.
Na wao wanalipwa wakiwa internship milioni moja na laki moja kwa mwezi ibadilishe kuwa dollar.
Pia kwangu mimi 400$ inanitosha kwa kuzingatia gharama za maisha ya Tanzania na thamani ya shilingi yetu.
850-900k tzsh mie ninafanya mahitaji na akiba kiasi naweka.
Usikute hiyo 70k kesh huyo jamaa haimmudu kwa gharama za maisha ya Kenya kuwa juu.
Maisha kwenu yana gharama sana ndio maana watu lazima wa demand pesa zaidi.
 
Kumbe walijua kuwa madakitari wataandana ndio maana wakaja na hoja kuwa Tanzania inalipa mishahara kiduchu madakitari ili kuwapoza wakwao ila kwa grao mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ndio walileta ripoti na chanzo chao cha habari "standard.ke.co" kuwa Tz ndio nchi mojawapo inalipa madaktari vibaya.
Cha ajabu wao madaktari wao ndio wanaandamana tena kwa kukosa mishahara na mazingira mabovu ya kazi!
 
Kumbe walijua kuwa madakitari wataandana ndio maana wakaja na hoja kuwa Tanzania inalipa mishahara kiduchu madakitari ili kuwapoza wakwao ila kwa grao mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Halafu visingizio vyao havina hata mantiki.
Eti intern analipwa 530$ sawa na kes 70k na bado haimtoshi anaandamana.
Anaandamana kwasababu pesa haikidhi mahitaji kimaisha,gharama za maisha ziko juu haziendani na huo mshahara wanaolipwa.
 
Misaada ya chakula huko tulisha toka kuna misaada tunayo pokea sio chakula hatujazoea kupokea chakula kutoka nje
Nyinyi mshaanza kuomba, na hamna jangwa.
View attachment 2945066

Hao ni mapimbi kaka yaani ni waongo namba moja dunian hakuna
Halafu visingizio vyao havina hata mantiki.
Eti intern analipwa 530$ sawa na kes 70k na bado haimtoshi anaandamana.
Anaandamana kwasababu pesa haikidhi mahitaji kimaisha,gharama za maisha ziko juu haziendani na huo mshahara wanaolipwa.
 
Rudi kwenye Mada 🤣🤣🤣🤣🤣 najua inaumiza Sana but mosmos plz
View attachment 2945056
Poverty infested Tanzania inanunua ndege mpya cash ilhali kwenye budget wameweka kipengele cha grants (misaada) 😂😂 cha kima sh 5.47 trillions. No wonder tanzanians are the most dumbest nationality kwa sababu ya ill funded education sector. Kati ya dawati/daftari na ndege lipi muhimu. Alafu shirika lenyewe ni loss making halirudishi hata shilingi moja
IMG_20240326_133719.JPG
 
Wewe unaumia ukiwa wapi bilashaka ni kibera
Poverty infested Tanzania inanunua ndege mpya cash ilhali kwenye budget wameweka kipengele cha grants (misaada) 😂😂 cha kima sh 5.47 trillions. No wonder tanzanians are the most dumbest nationality kwa sababu ya ill funded education sector. Kati ya dawati/daftari na ndege lipi muhimu. Alafu shirika lenyewe ni loss making halirudishi hata shilingi mojaView attachment 2945087
 
Back
Top Bottom