Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Hizi siasa mbovu uchwara siyo poa
📌📌📌📌🔨 Bado hujasema Hadi useme 👇👇Bado unaendelea tu kubadilisha magoli. 🤣 🤣 🤣
Lakini kwani kasema uongo? Au tatizo ni neno Samia hapo au? 🤪🤪Hizi siasa mbovu uchwara siyo poa
Wizara ya Afya Haiwezi Kuja na Vipaombele Tofauti na hivi?
Yaani Bil.980 yote itaishia huku 👇
-Semina,makongamano
-Elimu Kwa Umma
-Posho
-Condom
-ARVs
My Take : Hata kama ni Msaada Ongezeni na USA , sehemu ya pesa ifanye mambo mengine ya msingi kwenye Afya
View: https://www.instagram.com/p/C48c8PNK76h/?igsh=MXF2ZDlvMHgwZTFtZA==
Mwisho Kundustan wanaojipendekeza daily hawapati hata mia 😆😆
🤣 🤣 🤣 🤣 Mzigo upo ndani ya DRC kwa sasa. Huku baharini na kwenyewe mambo yapo moto
View attachment 2944967
Acheni uongo, Serikali inaweza kuja na vipaombele vyake Ili hao USA wa complement kwenye hayo maeneo.Pesa ya marekani huwezi kupangia unachotaka wewe
Na hiyo talanta lazima itatoka kivingine , tofauti na muundo wa picha wanazoleta hapaHawa wamelaaniwa hawa mkuu hakuna kitu wanafanya wakafanikiwa 100%
Wacha ni bookmark hii comment.Na hiyo talanta lazima itatoka kivingine , tofauti na muundo wa picha wanazoleta hapa
Yes fanya hvo plz 😅😅😅😅 wala sio mara yakwanza, na hakuna MTU atawalaumu coz ni sehemu ya maisha yenuWacha ni bookmark hii comment.
Negotiation stage.Na hiyo talanta lazima itatoka kivingine , tofauti na muundo wa picha wanazoleta hapa
Mbona Engine (kampuni ya Africa kusini) na Total( kampuni ya ufaransa) zinatuuzia mafuta hapa hapa Tanzania!!? Au Mt.meru ( kampuni ya kitanzania) inauza mafuta mengi tu kule Zambia??Hii imekaaje kwa Uganda kutuuzia bidhaa za petroli??