KOMANDO YOSO
JF-Expert Member
- Sep 7, 2023
- 819
- 2,864
Unakatwa 😁 😁 😁Kwani mnasave chini ya mattress?
Juu bank zenu ni maskini!
Unakatwa 😁 😁 😁Kwani mnasave chini ya mattress?
Juu bank zenu ni maskini!
Tena kunduzeroSiku mkiwa na Electric Railway tutaacha kuwaita Kundustan
Na ninyi mkafungwa na timu yenye rank ya 166 kwenye Fifa?South Sudan ranks position 166 while Mongolia is 190. Hata hamna aibu kusherekea beating a bottom team.
To be fair, huu ujenzi ulianza kipindi cha Magu.Mama yuko kazini.
Wainunue tu wale ukiwapa pesa na unga ni kama misukuleHapo usikute Viongozi wa Tanzania wapi kwenye maongezi ya wawali kununua ardhi ya kenya 1/4 ili tuongeze vizur shughuli zetu zakilomo 😂😂
Yaani sisi tuna sifa sana, 😂😂
Hii kwa tunza beach Mwanza unaeza sema uko duniani huko kwa watu weupe 👇
View: https://www.instagram.com/reel/CzMPAEMq_5l/?utm_source=ig_web_button_share_sheet.
View: https://www.instagram.com/reel/CzRL2MHqFFb/?utm_source=ig_web_button_share_sheet. Mmh Mwanza tamu bhana
Sijajua kama mshwahi kuiona hii kwa tunza beach Mwanza 👇 bounge la ukumbi
View: https://www.instagram.com/reel/C46CbO1i_Cr/?igsh=MTdlYW82b3dka3Rscw==.. Kunyan waletr facity kama hii outside Nairobi