ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,248
Sasa si wanajileta ulitaka tukatae? Nyie Kundustan mtajipendekeza wewe ila bila bilaHivyo ndivyo mnavyojiaminisha ila ukweli kwa ground ni tofauti. In the past 3 weeks alone, mmepokea misaada mara tatu kutoka kwa Wazungu. Bado mnasema hamjipendekezi. Hizo misaada mmepewa kisa mnaziitaji. Hadi kwa budget yenu mmeandika part of the budget will be funded by aid na bado mnajiaminisha eti hamuhitaji misaada. Wabongo bana. 🤣 🤣