Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Terminal 2 building Aman abeid karume int airport wanajenga jengo jipya kabisa
Screenshots_2024-03-26-00-08-32.png
Screenshots_2024-03-26-00-09-08.png
 
Wizara ya Afya Haiwezi Kuja na Vipaombele Tofauti na hivi?

Yaani Bil.980 yote itaishia huku 👇
-Semina,makongamano
-Elimu Kwa Umma
-Posho
-Condom
-ARVs

My Take : Hata kama ni Msaada Ongezeni na USA , sehemu ya pesa ifanye mambo mengine ya msingi kwenye Afya

View: https://www.instagram.com/p/C48c8PNK76h/?igsh=MXF2ZDlvMHgwZTFtZA==

Mwisho Kundustan wanaojipendekeza daily hawapati hata mia 😆😆
 
Wizara ya Afya Haiwezi Kuja na Vipaombele Tofauti na hivi?

Yaani Bil.980 yote itaishia huku 👇
-Semina,makongamano
-Elimu Kwa Umma
-Pisho
-Condom
-ARVs

My Take : Hata kama ni Msaada Ongezeni na USA , sehemu ya pesa ifanye mambo mengine ya msingi kwenye Afya

View: https://www.instagram.com/p/C48c8PNK76h/?igsh=MXF2ZDlvMHgwZTFtZA==

Mwisho Kundustan wanaojipendekwza daily hawapati hata mia 😆😆

Hivi ndivyo mnavyojifariji mkipokea misaada?🤣🤣🤣
Wabongo ni watu wa kushangaza. Tukipokea misaada, wanajisifu, wakipokea misaada wanajisifu.🤣🤣
 
Hivi ndivyo mnavyojifariji mkipokea misaada?🤣🤣🤣
Wabongo ni watu wa kushangaza. Tukipokea misaada, wanajisifu, wakipokea misaada wanajisifu.🤣🤣
Nyie mnaojipendekeza ndio Huwa tunawashangaa,sisi hatujipendekezi Kwa bwana zenu Wazungu ila wanatubembeleza.

Ulitaka tukatae? Kwani hatuhitaji pesa?
 
Nyie mnaojipendekeza ndio Huwa tunawashangaa,sisi hatujipendekezi Kwa bwana zenu Wazungu ila wanatubembeleza.

Ulitaka tukatae? Kwani hatuhitaji pesa?
Hivyo ndivyo mnavyojiaminisha ila ukweli kwa ground ni tofauti. In the past 3 weeks alone, mmepokea misaada mara tatu kutoka kwa Wazungu. Bado mnasema hamjipendekezi. Hizo misaada mmepewa kisa mnaziitaji. Hadi kwa budget yenu mmeandika part of the budget will be funded by aid na bado mnajiaminisha eti hamuhitaji misaada. Wabongo bana. 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom