Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa location ya wakundustan kuforce tufanane inaenda kupigwa nyundo watakuwa wanapost past papers tu 😁😁😁

Screenshot_20240325-220128.jpg
Screenshot_20240325-220058.jpg
 
Ila sisi bhana tunasifa sana, eti kesho tunapokea mwewe, halafu tunapumzika then tunaleta tena joka tarehe 28 😂😂 Sisi tuna sifa kweli.

Eti kisa jirani amekula mafuriko na sisi tukaamua eti tutangaze leo kwamba tunavunja nyumba zote kando ya msimbazi ili tujenge na daraja kubwa na tupanue mto. 😂😂 Sisi tuna sifa sana
 
Hvi tunavoongea iko njian washaondoka America wanaingia hapa Saa nne asbh
Screenshots_2024-03-25-22-40-19.png
Screenshots_2024-03-25-22-40-34.png
 
Back
Top Bottom