Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,604
- 5,737
nahisi kaka ngoja tuone itakuwaje by the way hilo eneo llikuwa linachafua taswira ya jiji sana.Asa kwenye hizo nyumba watachimba kuongeza kina ama watainua daraja?
nahisi kaka ngoja tuone itakuwaje by the way hilo eneo llikuwa linachafua taswira ya jiji sana.Asa kwenye hizo nyumba watachimba kuongeza kina ama watainua daraja?
Treni zilizochongoka kuingia tarehe 28 March 2024. Piga makofi tafadhali
View: https://youtu.be/YXvOuBZhtq0?si=aNXGBozRsTtZ7mq8
Unajifariji ukiwa wapi wakati Dar nzima ni uswazi?Heheheee cjui Nicxie atapata wapi picha za kujifariji mana tunabomoa uswazi wote wa Msimbazi, wao bado wapo na ma slums yao yanayozidi kunawiri cku hadi siku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mama anaendelea kukiwasha 👇👇Mama yuko kazini.
Nyumba za pembezoni na jangwani zote zibomolewe ule mfereji utanuliwe maji yapite kwa nafasi nahisi hii itasaidia maana maji hayana mkondo maalum ndio maana hufurika.nahisi kaka ngoja tuone itakuwaje by the way hilo eneo llikuwa linachafua taswira ya jiji sana.
Mara kadhaa Huwa nawadharau sana hao watu wenu wa TanRoads Wana akili za kushikiwa,wasipostuliwa Huwa hawawezi kujiongeza kama manyumbu 😁😁![]()
![]()
Whoever designed hivi vibanda vya phase II (chini) anatakiwa kufungwa, ona tofauti na vile vya phase I (juu). Na hii kampuni ya kichina nayo imeripua sana hii phase II. Watanzania "tumezoea" standard ya juu bana.
Kwa kifupi umeumizwa na matokeo😎Mongolia kumbe ni position 190 out of 210. No wonder Leo Tanzania wameshinda mechi.
View attachment 2944498
Atueleze South Sudan rank ya ngapi ilowafunga?Kwa kifupi umeumizwa na matokeo🙂
kabisa kabisa.Nyumba za pembezoni na jangwani zote zibomolewe ule mfereji utanuliwe maji yapite kwa nafasi nahisi hii itasaidia maana maji hayana mkondo maalum ndio maana hufurika.
Treni zilizochongoka kuingia tarehe 28 March 2024. Piga makofi tafadhali
View: https://youtu.be/YXvOuBZhtq0?si=aNXGBozRsTtZ7mq8
South Sudan ranks position 166 while Mongolia is 190. Hata hamna aibu kusherekea beating a bottom team.Atueleze South Sudan rank ya ngapi ilowafunga?
KQ owned by KLMichoboy01 ATCL ishaitengeneza faida?