Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tuna b hara t 😃
IMG_20240321_183414.JPG
IMG_20240321_183400.JPG
IMG_20240321_183347.JPG
 
VIazi hawa.
Tena viazi vya futari na tambi kabisa😂😂😂😂😂
Hii talanta inapewa sifa nyingi hata haijakamilika.
Tupo hapa ngojea tuone aisee itavyokua hiyo Talanta.
Hii inaonyesha ni namna gani walivyokua na kiu na miradi,kitu kiko kwenye render ila tayari kishaipita hadi wembley kisa tu wembley ilijengwa kitambo😀
 
Back
Top Bottom