Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Of course Talanta is better than Mohammed V Stadium. Though nasikia wanataka kureconstruct hiyo Mohammed V.

Kuna viwanja vina track na vimehost finali. Hivyo viwanja sijasema ni vibaya ila vingi vyao havifikii Talanta. Halafu nimeweka vitu vingi kwa hiyo list vinavyofanya Talanta iwe bora kuliko Mkapa. Wewe nipe kimoja tu kinachofanya Mkapa iwe bora nihame huu uzi.
Ona huyu jamaa.
😂😂😂😂😂😂 Really ufananishe Muhammad V na Talanta??
Really useme Talanta ni bora kuliko viwanja vya Ulaya vilivyo host uefa kisa vina running track!?
😂😂😂😂😂.
Tuanze taratibu
1)Talanta kuna V.A.R room?
 
Nilikuwa nakuona wewe kdg una afadhali unatawaza kwa maji kumbe nawewe ni walewale mnuka mavi kama wakenya wengine.
Mimi Kinjekitile Saba akisema ananiona bora kuliko wengine ndio nitajidharau zaidi. Yani sifa kutoka kwako ni kama tusi. Heri unione mjinga kuliko unione bora maanake mjinga huona wajinga wenzake kuwa bora.
 
what do tanzanians benefit from defending the low standards of living over there ....dar is suffering from acute planning with explosion of uswazi hovel slums covering 90% of dar,,,,no proper drainage system because hizo nyumba za uswahili hazina piped water .transport pia ni shida despite the brt thing.....tz still in a nutshell has a low development index despite the theatrics over here.
 
Sisi tunaongelea Projects wao wanapiga Kelele

1711028517973.png

1711028552020.png
 
Ona huyu jamaa.
😂😂😂😂😂😂 Really ufananishe Muhammad V na Talanta??
Really useme Talanta ni bora kuliko viwanja vya Ulaya vilivyo host uefa kisa vina running track!?
😂😂😂😂😂.
Tuanze taratibu
1)Talanta kuna V.A.R room?
Sasa unataka kufananisha uwanja ambao hauna roof na Talanta? Wewe kichwa chako kiko sawa? 😂 😂 😂
Kuuliza kama Talanta ina VAR room ni kama kuuliza kama Ziwa victoria lina maji. Nimeona nabishana na mtu asiyejielewa. 😂😂
 
Of course Talanta is better than Mohammed V Stadium. Though nasikia wanataka kureconstruct hiyo Mohammed V.

Kuna viwanja vina track na vimehost finali. Hivyo viwanja sijasema ni vibaya ila vingi vyao havifikii Talanta. Halafu nimeweka vitu vingi kwa hiyo list vinavyofanya Talanta iwe bora kuliko Mkapa. Wewe nipe kimoja tu kinachofanya Mkapa iwe bora nihame huu uzi.
Waulize CAF kwanini walichagua BWM stadium kuwa uwanja wa ufunguzi na sio Mohammed wa V.
 
Of course Talanta is better than Mohammed V Stadium. Though nasikia wanataka kureconstruct hiyo Mohammed V.

Kuna viwanja vina track na vimehost finali. Hivyo viwanja sijasema ni vibaya ila vingi vyao havifikii Talanta. Halafu nimeweka vitu vingi kwa hiyo list vinavyofanya Talanta iwe bora kuliko Mkapa. Wewe nipe kimoja tu kinachofanya Mkapa iwe bora nihame huu uzi.
Subiri ijengwe alaf panua kipumulio hata SGR mliambiwa hvo hvo 🤣🤣🤣🤣🤣
images - 2024-03-21T164530.464.jpeg
images - 2024-03-21T164538.215.jpeg
 
Sasa unataka kufananisha uwanja ambao hauna roof na Talanta? Wewe kichwa chako kiko sawa? 😂 😂 😂
Kuuliza kama Talanta ina VAR room ni kama kuuliza kama Ziwa victoria lina maji. Nimeona nabishana na mtu asiyejielewa. 😂😂
Show me that Talanta tortoise shell stadium wacha kupiga kelele, eti Talanta tortoise shell stadium ina VAR room iko wapi hiyo room, mbona mnaleta utoto? Sisi ndiyo nchi ya kwanza ukanda huu kuwa na VAR room na pia nchi ya kwanza ukanda huu viwanja vyake kuwa na LED display, you must have respect to this country.
 
Ona ulivyo fala.
Nimesoma Talanta itakavyokua toka vyombo vyenu vya habari hakuna sehem ya V.A .R.
Usije ukawa haujui maana ya V.A.R
 
Show me that Talanta tortoise shell stadium wacha kupiga kelele, eti Talanta tortoise shell stadium ina VAR room iko wapi hiyo room, mbona mnaleta utoto? Sisi ndiyo nchi ya kwanza ukanda huu kuwa na VAR room na pia nchi ya kwanza ukanda huu viwanja vyake kuwa na LED display, you must have respect to this country.
Hata chamanzi stadium ina VAR room 😁😁

View: https://youtu.be/WL5-bsipw0k?si=9q5cU3Z6m3yLlqqm
 
Back
Top Bottom