Mr DIY
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 1,206
- 2,626
Hawataki dcm wala isuzu journeyUpuuzi gani huu
View attachment 2936495
Hawataki dcm wala isuzu journeyUpuuzi gani huu
View attachment 2936495
Uwanja gani huo mlijenga 20 years ago yenye hadhi ya Talanta Stadium? Ama unamaanisha how hii Dinosaur?Sisi wenzenu hayo tulifanya miaka 20 iliyopita Rais akiwa mkapa nyie Rais wenu alikuwa mtukufu moi
Google Benjamin mkapa national stadium utaonaUwanja gani huo mlijenga 20 years ago yenye hadhi ya Talanta Stadium? Ama unamaanisha how hii Dinosaur?View attachment 2940771
Labda nikuulize ww mwehu zile gari munazo import kutoka Japan hua zinakuja brand new ??? Gari zote muna import kutoka Japan ni second hand, kwa vile Kenya kuna assembly plant ya Toyota au Benz au BMW 🤣🤣 mpaka tununue kwenu, munapenda kujipa shighuli isiokua yenu
Hzi gari zote zinauzwa ni used from Japan or UK 😂😂👇👇👇
Na bahat nzuri hawa Rana auto ni wapakistan mm nawajua Yani huna chakunidanganya
View: https://www.instagram.com/p/BfvX6_kD_EP/?igsh=MXR1bXh0Y2twdnpxeg==
View: https://www.instagram.com/p/B5swDN0HWFw/?igsh=czRicmhkNWhuMGd5
View: https://www.instagram.com/p/BvrywsSh3Ol/?igsh=MTd5bzRsd2xyb3J1
View: https://www.instagram.com/p/BfsqyXJjisY/?igsh=bTB5ZDJhbjR6MWVq
Stadium like that hamtawaiona Tanzania.Sisi wenzenu hayo tulifanya miaka 20 iliyopita Rais akiwa mkapa nyie Rais wenu alikuwa mtukufu moi
What an excuse!Ruto kachukua loan over 250b within 2months kuweka mambo sawa na bado mambo hayajakaa sawa 😂😂😂😂😂
unakuwanga/ unakuwa ama unakuwaga.Kumbe wewe pia unakuanga na akili ndogo kama ya kunguni? The Chinese ambassador have only expressed her opinion and that opinion doesn't weigh any weight since she is not the organizer of AFCON.
Starehe za Nairobi huziwezi, hadi Major Lazer ametambua.
View: https://x.com/MAJORLAZER/status/1770133750778651107?s=20
watu ni wengi sana tofauti na huduma yaani gari bado hazitoshi mpaka mwezi wa 9 mwekezaji mwingine atapatikana na gari nyingine zitakuwa zimewasili kwaajili ya mradi wa 2 na za kuongeza nguvu mradi no 1.Habari iko hadi kwenye magazeti, 8 years of failure. 😂 😂 😂 👇 👇
![]()
Hiyo tunayo miaka 20 iliyopitaStadium like that hamtawaiona Tanzania.
BEnjamin Mkapa imejengwa miaka mingapi iliyopita!?Stadium like that hamtawaiona Tanzania.
Kaka Oppo usizibeze.Tunaendelea tulipoishia jana
Why is Dar es Salaam ahead of Nairobi for development?
19. Smartphone Brands (Hii inaonesha hadhi ya maisha ya wananchi 🤣 🤣 🤣 )
Sisi tunatumia Apple wao wanatumia Oppo 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2940786
View attachment 2940788
Mkapa level yake ni Kasarani, kwa hivo mkisema mlijenga 20 years ago sisi tutasema tulijenga 37 years ago. Kwa sasa bado hamjajenga Talanta na hamna mipango ya kuijenga any time soon.BEnjamin Mkapa imejengwa miaka mingapi iliyopita!?
Prove itMkapa level yake ni Kasarani, kwa hivo mkisema mlijenga 20 years ago sisi tutasema tulijenga 37 years ago. Kwa sasa bado hamjajenga Talanta na hamna mipango ya kuijenga any time soon.
Usipeane percentages pekee, peana na numbers. Maanake nikiangalia Kenya imetumia $2.1B kwa ununuzi wa simu wakati Tz imetumia $1.5B pekee.Tunaendelea tulipoishia jana
Why is Dar es Salaam ahead of Nairobi for development?
19. Smartphone Brands (Hii inaonesha hadhi ya maisha ya wananchi 🤣 🤣 🤣 )
Sisi tunatumia Apple wao wanatumia Oppo 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2940786
View attachment 2940788
Prove what? Ndio maana unatumia picha za watu ukidanganya ni zako. Akili finyu.Prove it