Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni radio ya Mombasa tazama presenter kavaa jezi ya yanga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anyway big up
View attachment 2940694View attachment 2940695
Hapo ndipo nnapowapenda wakenya, over 80% ya Wakenya wanashabikia Simba na Yanga, hii inafanya klabu zetu ziendelee kuingiza fedha ๐Ÿ’ฐ๐Ÿ’ธ tunashukuru kwa hilo aisee, kama ambavyo ni mashabiki wa mziki wetu ndivyo hivyo hivyo kwenye soccer letu wameendelea kuwa mashabiki waaminifu kabisa. Mkenya anatoka kwao huko mbali anakuja kuangalia kariakoo derby ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Dar is a slum ni mashida tupu. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ‘‡

View: https://x.com/UziBinUzi/status/1770040138506133604?s=20

Mnaifatilia sn Tanzania mpaka ikibidi muongope ili mjifariji kwamba tupo sawa kwenye mashida ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Ngoja nikuambie tu Tanzania hamuwezani nayo, hatuna shida za kipuuzi huku, msifosi tufanane ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Unawatch bol ukiwa 1km from the field.
Na hicho ndicho kitu kimefanya FIFA na caf ku approve viwanja vyetu, timu zenu inabidi zije Tanzania kucheza mechi zao za kimataifa huoni aibu? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Labda nikuulize ww mwehu zile gari munazo import kutoka Japan hua zinakuja brand new ??? Gari zote muna import kutoka Japan ni second hand, kwa vile Kenya kuna assembly plant ya Toyota au Benz au BMW ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ mpaka tununue kwenu, munapenda kujipa shighuli isiokua yenu

Hzi gari zote zinauzwa ni used from Japan or UK ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Na bahat nzuri hawa Rana auto ni wapakistan mm nawajua Yani huna chakunidanganya

View: https://www.instagram.com/p/BfvX6_kD_EP/?igsh=MXR1bXh0Y2twdnpxeg==

View: https://www.instagram.com/p/B5swDN0HWFw/?igsh=czRicmhkNWhuMGd5

View: https://www.instagram.com/p/BvrywsSh3Ol/?igsh=MTd5bzRsd2xyb3J1

View: https://www.instagram.com/p/BfsqyXJjisY/?igsh=bTB5ZDJhbjR6MWVq

Angalia Mali yao pendwa hapa ( Probox), Kwamba hii ni Brand new wakimaliza kuibebesha ile mizigo inayozidi size ya gari ndio wauze Bongo kama second hand? Au itakua Owner wa hamsini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Vitu vingine unaangalia tu ile Rhythm ya maisha unajua level yao inatosha๐Ÿ˜‚

Hapa Rhythm inakataaa na wanayosema ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. inafoka kabisa vitu haviendani

IMG_5215.jpeg
 
View attachment 2940716
Kenya na probox ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
85% ya gari zao ni probox na bahat nzuri kwa Hilo hua hawabishi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Unaeza Kuta tajiri anaejiweza lakini anaendesha probox yenye airbag mbili

Ndio maana katika magari yanayoongoza kuwaua ni probox alaf bodaboda hua zinawakataga kama nyama

View: https://www.instagram.com/p/C1KwEEjgfNX/?igsh=N2Zka29kaDF5djhz
 
85% ya gari zao ni probox na bahat nzuri kwa Hilo hua hawabishi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Unaeza Kuta tajiri anaejiweza lakini anaendesha probox yenye airbag mbili

Ndio maana katika magari yanayoongoza kuwaua ni probox alaf bodaboda hua zinawakataga kama nyama
Hivi unatumai mtu na akili zake timamu aanze kubishana na toilet boy? Kuna watu wa kubishana nao, wengine unawaacha tu waamini ujinga wao. Mtu mjinga sio wa kubishana naye.
 
Wajina umefunga bhana utafungulia punguza jazba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Jana hiyo nilivyokua napiga mbu kwa Rungu, nimeamka na swaumu yangu ndio mana nimepiga kimya, baadae after iftar ndio moto utawaka ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ.. sikuhiz nimejipa nick name naitwa "Ngariba" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mimi ndio nawakeketa mungiki

Kwahyo saivi ni samaboy a.k.a Ngariba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom