Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Maumivu yakizidi, muone daktari.😃😃
View: https://www.instagram.com/reel/C4xK6zHAYYj/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Unapost mahali penye watu wanachimba vs Uwanja uliokamilika.? 😂😂😂
Maumivu yakizidi, muone daktari.😃😃
View: https://www.instagram.com/reel/C4xK6zHAYYj/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Huyo ni yesu wa tongareni🙂Kumbe huyu malay.a anatumia 🆔 mbili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wajina muda wa kufuturu unakaribia usije kukausha daku.Nilichelewa huu mjadala 😂😂😂 sasa mbona hiyo talanta ni kitu yenye haipo.? Kwahyo sikuhiz tumeanza kulinganisha ndoto za kenya vs mafanikio ya Tz .? 😂😂😂
Kwani hiyo taranta imehost michuano gani mikubwa?Of course Talanta is better than Mohammed V Stadium. Though nasikia wanataka kureconstruct hiyo Mohammed V.
Kuna viwanja vina track na vimehost finali. Hivyo viwanja sijasema ni vibaya ila vingi vyao havifikii Talanta. Halafu nimeweka vitu vingi kwa hiyo list vinavyofanya Talanta iwe bora kuliko Mkapa. Wewe nipe kimoja tu kinachofanya Mkapa iwe bora nihame huu uzi.
Kutoka kwa uwanja mpaka kwa mashabiki ni 100 metresMwache aendelee kujidanganya 🤣🤣
View attachment 2940884
Talanta ya makaratasi🙂Kuna mwendazimu fulani anasema huu uwanja umeshinda Talanta. 😂😂😂
![]()
Asa Mkuu kwani we hautaki ndugu zetu wapate faraja na wao.? 😂😂😂 Mwache ajifurahishe bhanaKwani hiyo taranta imehost michuano gani mikubwa?
Yani kutoka kwenye picha mpaka viti ni 100mters 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli munaumia sanaKutoka kwa uwanja mpaka kwa mashabiki ni 100 metres
Huoni vile inawakula kichwa?🤣🤣Wacha ni vunje Kimya, Talanta stadium ni kiboko
Boss talanta sio mchezo lazima washikwe na tumbo jotoHuoni vile inawakula kichwa?🤣🤣
Wewe na huyo mwenzako wote nyie sio wazima nyie 😂😂😂 inamaana mmefika kulinganisha dreams vs reality?Huoni vile inawakula kichwa?🤣🤣
Komaeni hadi kieleweke Kundustan kwenye English yao sasaTalanta ya makaratasi🙂
ahsante render unacompare na kitu ambacho kipo tayari,tukikuambia uende kuchukua dose yako ya merthadone pale mathare mental institute tutakua tumekosea?Wacha nikueleze polepole uelewe.
1. Talanta exterior is covered with self cleaning ETFE Membrane, Mkapa exterior is ugly concrete AKA Zege.
2. Talanta has folding seats, Mkapa has fixed seats.
3. Talanta has a parking for 3000 vehicles, Mkapa has a parking for 600 vehicles.
4. Talanta is purpose made with no running track inside the stadium giving a better football atmosphere, Mkapa has an ugly running track making the stadium wider and fans seat further from action.
5. Talanta has a fully covered fan section with an extention of transparent ETFE completely protecting fans from rain, Mkapa is almost 70% open.
6. Talanta is way more beautiful.
Hawataki kukubali Talanta ni standards za Europe na South Africa. The rest of Africa hakuna uwanja unakaribia Talanta.Boss talanta sio mchezo lazima washikwe na tumbo joto
Kariakoo Dar is a slum in 2024 😂 😂 😂
View: https://x.com/JamiiForums/status/1770720092986196456?s=20
Huo talanta uko wapi?Hawataki kukubali Talanta ni standards za Europe na South Africa. The rest of Africa hakuna uwanja unakaribia Talanta.