mafala hawa wao hawajui uwanja bora unahitaji nini.
Wanashikilia viti tu vya kukaa.
Hajui hata FIFA series ni nini🤣🤣🤣🤣Je, na nyie mnashiriki FIFA series?
Kumbe huyu malay.a anatumia 🆔 mbili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi Kinjekitile Saba akisema ananiona bora kuliko wengine ndio nitajidharau zaidi. Yani sifa kutoka kwako ni kama tusi. Heri unione mjinga kuliko unione bora maanake mjinga huona wajinga wenzake kuwa bora.
Wacha nikuache. 😂 😂 😂Katizame benchi la ufundi,vyumba vya kubadilisha nguo,mabafu,vyumba vya tiba,vyumba vya kupumzikia.
Je Talanta inavyo vyote hivyo!?
Maana Muhammad V inavyo vyote hivyo.
Sawa. 😂😂😂Ona ulivyo fala.
Nimesoma Talanta itakavyokua toka vyombo vyenu vya habari hakuna sehem ya V.A .R.
Usije ukawa haujui maana ya V.A.R
Uwanja una goal-line technology alafu ukose VAR room? Nyinyi watu huwa mnanifurahisha sana. 🤣 🤣mafala hawa wao hawajui uwanja bora unahitaji nini.
Wanashikilia viti tu vya kukaa.
Endelea kusifia render.Wacha nikuache. 😂 😂 😂
Tuoneshe hiyo goal line technology hapo Talanta.Uwanja una goal-line technology alafu ukose VAR room? Nyinyi watu huwa mnanifurahisha sana. 🤣 🤣
Mwambie akuoneshe hata kwenye render tu🤣🤣Tuoneshe hiyo goal line technology hapo Talanta.
Endeleeni kuumia. 🤣 🤣Tuoneshe hiyo goal line technology hapo Talanta.
VIazi hawa.Mwambie akuoneshe hata kwenye render tu🤣🤣
Ngojea uwanja ukamilike ndio tuongee.Endeleeni kuumia. 🤣 🤣
Talanta ina render mbili sijui 🤣🤣🤣🤣🤣🤣VIazi hawa.
Tena viazi vya futari na tambi kabisa😂😂😂😂😂
Hii talanta inapewa sifa nyingi hata haijakamilika.
Tupo hapa ngojea tuone aisee itavyokua hiyo Talanta.
Unaskia uchungu ukiwa wapi? Hii negotiation stage yako imekawia Sana.🤣🤣Ngojea uwanja ukamilike ndio tuongee.
Msitukane mamba angali hamjavuka mto.
😂😂😂😂😂😂😂🤐🤐🤐🤐 Ngoja nifuturu tuongee vizuri.Unaskia uchungu ukiwa wapi? Hii negotiation stage yako imekawia Sana.🤣🤣
Nilichelewa huu mjadala 😂😂😂 sasa mbona hiyo talanta ni kitu yenye haipo.? Kwahyo sikuhiz tumeanza kulinganisha ndoto za kenya vs mafanikio ya Tz .? 😂😂😂Wewe proof yako wenu unalingana na Talanta iko wapi?