Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkapa level yake ni Kasarani, kwa hivo mkisema mlijenga 20 years ago sisi tutasema tulijenga 37 years ago. Kwa sasa bado hamjajenga Talanta na hamna mipango ya kuijenga any time soon.
Kama kasarai ni level ya Mkapa mbona Kasarani haina HADHI YA CAF WALA FIFA??
KWanini mataifa mengi mwaka jana yalichagua Mkapa kuchezea Afcon qualifiers na sio Kasarani??
HATA aibu huoni kufananisha Mkapa na kasarani??
Umedata wewe
 
Labda nikuulize ww mwehu zile gari munazo import kutoka Japan hua zinakuja brand new ??? Gari zote muna import kutoka Japan ni second hand, kwa vile Kenya kuna assembly plant ya Toyota au Benz au BMW 🤣🤣 mpaka tununue kwenu, munapenda kujipa shighuli isiokua yenu


Hzi gari zote zinauzwa ni used from Japan or UK 😂😂👇👇👇
Na bahat nzuri hawa Rana auto ni wapakistan mm nawajua Yani huna chakunidanganya


View: https://www.instagram.com/p/BfvX6_kD_EP/?igsh=MXR1bXh0Y2twdnpxeg==

View: https://www.instagram.com/p/B5swDN0HWFw/?igsh=czRicmhkNWhuMGd5

View: https://www.instagram.com/p/BvrywsSh3Ol/?igsh=MTd5bzRsd2xyb3J1

View: https://www.instagram.com/p/BfsqyXJjisY/?igsh=bTB5ZDJhbjR6MWVq

Wanajua wanaihusudu probox wakazileta kama mvua vile.
 
Mkapa level yake ni Kasarani, kwa hivo mkisema mlijenga 20 years ago sisi tutasema tulijenga 37 years ago. Kwa sasa bado hamjajenga Talanta na hamna mipango ya kuijenga any time soon.
Umerogwa wewe.
Compare and contrast
Kasarani imepauka uwanja h
Screenshot_2024-03-21-14-51-56-53_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-21-14-52-33-48_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-21-14-53-17-50_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-21-14-53-40-26_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
auna hata taste bhanaaaaa!
 
The two are more similar than Mkapa to Talanta. If I was to grade them, Talanta gets 95%, Mkapa gets 59% and Kasarani gets 50%. That's why nimekwambia Mkapa rika lake ni Kasarani, sio Talanta.
We ni makalio tena meusi.
Kuanzia pitch mpaka majukwaa Mkapa is way far better than Kasarani.
Hata hiyo Talanta imekaa kama TURUBAI LA MSIBA huwezi fananisha na Mkapa.
 
We ni makalio tena meusi.
Kuanzia pitch mpaka majukwaa Mkapa is way far better than Kasarani.
Hata hiyo Talanta imekaa kama TURUBAI LA MSIBA huwezi fananisha na Mkapa.
It is slightly better ndio maana nimeipea 59% na nikapea Kasarani 50%. Talanta however is in its own league. Talanta unaweza upeleka hata Europe na bado utakuwa among the best stadia. Hiyo Mkapa yenu hata haugusi Amahoro ya Rwanda.
 
Back
Top Bottom