Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Uchungu
IMG_0396.jpeg
 
Ndio unavojidanganya na ww kwamba nyinyi muna assemble scania au sio haya tuletee list kua AVA ame assemble scania trucks ngap kwa mwaka mm nifunge ACC SASA hvi 😂😂😂😂😂😂

Most of scania Munatumia zinatoka either South Africa au Europe (UK) hamuna plant ya Scania Kenya, the only active Scania plant iko South Africa 😂😂😂😂

Kwani zile Benz actors munatumia hua muna assemble kwenye ndoto ya mchana au ya usiku?? Punguzeni sifa ambazo hamuna dunia ishabadilika na nyinyi badilikeni hakuna mjinga SASA hvi
Wacha kuchange topic msee
Yaani magari yamemaliza milage South Africa yananunuliwa na kutumwa Tanzania. Then definitely ya kutoka Kenya pia mnanunua 😂😂

View: https://www.instagram.com/reel/C4ucW3KNBvv/?igsh=c254dXN4dmU0ZHgz
 
Kumbe unatamani BRt ishindikane.? 🤣🤣 Endelea kutamani, sisi tuko busy kuwekeza to the point that hata marekani awepee pesa za bure hamtakaa mtufikie kamwe.

Guess what 3 phases of BRt are under way.. phase 2, phase 3 and phase 4.

tumeagiza buses mpyaa 170 for BRt phase 1 ili kuongeza efficiency. Hii itafanya kuonongeza buses kufikia almost 400 for BRt phase 1 alone.

Kwahyo we kama unaumia jiandae na kifo mana utaumia zaidi 🤣🤣🤣 pole
Sasa hata report ya wananchi na lwenye magazeti yenu bado mnaona kama ni fault ya wakenya? 😂😂
IMG_0397.jpeg
 
Wacha kuchange topic msee
Yaani magari yamemaliza milage South Africa yananunuliwa na kutumwa Tanzania. Then definitely ya kutoka Kenya pia mnanunua 😂😂

View: https://www.instagram.com/reel/C4ucW3KNBvv/?igsh=c254dXN4dmU0ZHgz

Labda nikuulize ww mwehu zile gari munazo import kutoka Japan hua zinakuja brand new ??? Gari zote muna import kutoka Japan ni second hand, kwa vile Kenya kuna assembly plant ya Toyota au Benz au BMW 🤣🤣 mpaka tununue kwenu, munapenda kujipa shighuli isiokua yenu


Hzi gari zote zinauzwa ni used from Japan or UK 😂😂👇👇👇
Na bahat nzuri hawa Rana auto ni wapakistan mm nawajua Yani huna chakunidanganya


View: https://www.instagram.com/p/BfvX6_kD_EP/?igsh=MXR1bXh0Y2twdnpxeg==

View: https://www.instagram.com/p/B5swDN0HWFw/?igsh=czRicmhkNWhuMGd5

View: https://www.instagram.com/p/BvrywsSh3Ol/?igsh=MTd5bzRsd2xyb3J1

View: https://www.instagram.com/p/BfsqyXJjisY/?igsh=bTB5ZDJhbjR6MWVq
 
Wacha kuchange topic msee
Yaani magari yamemaliza milage South Africa yananunuliwa na kutumwa Tanzania. Then definitely ya kutoka Kenya pia mnanunua 😂😂

View: https://www.instagram.com/reel/C4ucW3KNBvv/?igsh=c254dXN4dmU0ZHgz

Kenya ?
Kaka have you been to South Africa?
South Africa is almost a first world country, gari zao mostly they buy zero mileage cars , it’s okay to import used car from SA, kenya apart from the government, no one can afford a brand new car .
 
B hara T with pathetic services. Kila mtu analia tu bad services. 😂 😂 😂

Image
Unaumia kuona Tz inapiga hatua, cc tayari tushatoka huko mliko nyinyi third world means of transport, tuko mbali hata mlie, nyinyi hamtakuja kuwa na BRT kwasababu ya planning mbovu za miji yenu, hamkuwa na akili ya miaka 100 mbele mkajenga mpaka kwenye road reseve 🤣🤣🤣🤣

Mlijaribu kujenga BRT mkashindwa kutokana na planning ya hovyo mliyo nayo, mtabaki kutuangalia tu huku BRT kule electrified SGR, nyie endeleeni kupost GTC na tortoise shell 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom